Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Tz jeshi lake lina kazi gani? Waende Ukraine wapate mafunzo kwa vitendo.
Tz jeshi lake lina kazi gani? Waende Ukraine wapate mafunzo kwa vitendo.
Wamekagua wapi? Mbona Wasomalia wana kamatwa ndani ya nchi kila siku? Wakenya na Wa Congo wamejaa Tz kama utitiri. Vitambi tu wamejazana. Hizo nguo ni kazi yao?Nikusaidie primary function ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi, si kukagua magendo.
Uhamiaji wapo, maliasili wapo ndio kazi zao
Nyoya la tausi tu, mguu wa swala wote huo...Alafu anakamatwa mzawa na mguu wa swala anafungwa miaka 20 jela!!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ni Australia na siyo Austria. Hata hivyo mnyama akizeeka mnamuua? Kwa hiyo na pembe za ndovu ni halali kuziuza kwa kisingizio tembo alikuwa Mzee!!!Wajinga ni nyinyi, sheria za nchi ziko wazi. Mnyama akizeeka anauzwa kwa mnada watu wanamlamba risasi wanachukuwa mabaki yake kihalali kabisa.
Nawashanga mnashangaa hao simba na chui wazee hamshangai, binadam wanaojipeleka wenyewe kwa ushoga.
Nyie hata Austria uzi huu mmeibadilisha kuwa ya Waarabu. Chuki za kijinga hizo.
Nimekuelewa mchambuzi. Kumbe hawa wanangu wanafanya kihere here tuu kuwakamata wakati sisi tumewaachiaNi halali kabisa ukiwa na kibali. Mbona watu wanaua sana tu kwa vibali. Tena wanajulikana kabisa wakuuliwa ni wepi, Simba hususan dume likishakuwa zee likifukuzwa kwenye familia (pack) na vijana ni heria auliwe inapatikana faida kuliko kuwachwa afe kwa mateso na njaa, huwa hawezi kuwinda peke yake.
Inaitwa "culling" kitaalaam, Tembo wengi wanauliwa kwa njia hii.
Kwani nani kakamatwa?Nimekuelewa mchambuzi. Kumbe hawa wanangu wanafanya kihere here tuu kuwakamata wakati sisi tumewaachia
Amekamatwa mzigo haramu. Huu aumekamatwa Hatujui ni vingapi havikamatwi hasa vinavyoelekea arabuKwani nani kakamatwa?
Ni bahati mbaya sisi wenyewe huwa hatuoni,ni mpaka watuonee wenzetu huko nje.Ni nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
View attachment 2743460
View attachment 2743489
UPDATE
TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia
View attachment 2743103
View attachment 2743104
Nani aliwapa?Waarabu wamepewa KIA hakuna namna
No, 2ko bize na DPWTuko busy kusaka jezi zetu mitaani.
Tupe mfano wa kigogo japo mmoja tu aliyewahi kufungwa enzi za hilo shetani lenu la ChatoIngekuwa ni magufuli waliohusika na uhujumu uchumi huo wote wangetiwa jambajamba kama si kuharisha kabisa. Nchi haiwezi kugeuzwa shamba la bibi kiasi hiki kila muhuni ajivunie mazao shambani anavyotaka
[emoji2956]Sasa swali linakuja hapo, vitalu vya Otelo Loliondo vinahusika nini hata wanafik waje kuvitaja hapa?
Nyara zikamatwe zilikokamatwa, wasemwe Waarabu/ Ficheni upumbavu wenu huko.
Kwani hao TAWA wamesema zimepitaje hizo nyara na zimesafirishwa vipi na wao walikuwa wapi? Hao ndiyo wa kushikwa kwanza kabisa na kujieleza.
Ushauri wa bure....Wewe hujui kuwa waarabu wamepewa ngorongoro na kia?
Unawachukia waarabu ?!!Umbwa wewe na waarabu mtatoka tu
Walinzi wa Taifa waamke, kama hawajalala, wachukue hatua.Ni aibu kwa kweli,yaan mpaka parcel inatoka bongo ujue kuna hatua 3
1.Physical inspection ambayo hufanywa na customs na watu maliasili na usalama,Document vs Kilichopo ndani package
2.Kuna Mbwa maalumu ambao hupitia parcel zote before kwa Kunusa
3.Scanner, ambapo mizigo yote inakuwa screened kabla ya kuwatayari kupakiwa airport.
How come vyote hivi havikuonekana/Kuweza gundua.
Inaweza ikawa pia havikutoka Tz.Ila kwa video wakaguzi wa Australia wanasema ni kutoka Tanzania na Kibali Kutoka Tz .je kibari nacho ni feki?