Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Ingekuwa halali na vibali vyote isingekamatwa! Umeona Press ya TAWA?
 
Wamesomea usekretari!
 
Kwa hiyo hao wanyama waliwindwa kihalali?
 
Ni nyara za serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.

View attachment 2742926
Inatia uchungu sana....Jamaa anasema " sad sad...such a beautiful creature can be killed for someone to lie down on the floor"" . Hawa jamaa wamesikitika zaidi kuliko ata wale wenzetu waliopewa dhamana.
 
Serikali ya ccm imelaaniwa duniani na mbinguni.

Wazawa wakiua wanyama wa porini kwa ajili ya kitoweo, wanawafunga miaka 20 jela!! Halafu majitu kutoka nje, yanaua wanyama hao hao, na hayachukiliwi hatua yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…