WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,615
- 3,784
Ingekuwa halali na vibali vyote isingekamatwa! Umeona Press ya TAWA?Hakuna uhujumu wowote hapo, unafahamu maana ya uhujumu uchumi wewe?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Som hii nini?:
Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee. Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.www.jamiiforums.com