Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Bi MKORA unamahaba na ccm mpaka umekua mjinga mazima!! Huu upupu ni wa kuandika hapa kweli?
Wajinga ni nyinyi, sheria za nchi ziko wazi. Mnyama akizeeka anauzwa kwa mnada watu wanamlamba risasi wanachukuwa mabaki yake kihalali kabisa.

Nawashanga mnashangaa hao simba na chui wazee hamshangai, binadam wanaojipeleka wenyewe kwa ushoga.

Nyie hata Austria uzi huu mmeibadilisha kuwa ya Waarabu. Chuki za kijinga hizo.
 
Inasikitisha sana, watu wakubwa wakiua simba na chui huku wanatamba mtaani, halafu hapa nyumbani kuna mtu amepewa mvua ya miaka gerezani kwa kukutwa na nyama ya tandala.
Duninani hakuna usawa kabisa!
 
Kwa karne hii na hata baadaye haya Mambo tusiyaruhusu, tuyatenge si mazuri,

viongozi wetu wawe na uzalendo wa kweli na kwa haki, tuipatie taifa letu faida kwa miaka ya mbeleni na viongozi wetu wawena maono ya kuona mbali zaidi kwa maarifa mema.
 
Alafu anakamatwa mzawa na mguu wa swala anafungwa miaka 20 jela!!!😭😭😭😭😭😭😭
 
Inasikitisha sana, watu wakubwa wakiua simba na chui huku wanatamba mtaani, halafu hapa nyumbani kuna mtu amepewa mvua ya miaka gerezani kwa kukutwa na nyama ya tandala.
Duninani hakuna usawa kabisa!
Yaani mnashangaa na kusikitika kuuliwa Simba lakini kuuliwa watu kwa maelfu na Nyerere huku Zanzibar pamoja na kuuliwa watu kila uchaguzi hamustaajabu wala kusikitika
 
Yaani mnashangaa na kusikitika kuuliwa Simba lakini kuuliwa watu kwa maelfu na Nyerere huku Zanzibar pamoja na kuuliwa watu kila uchaguzi hamustaajabu wala kusikitika
Wewe ni mpumbavu sana hao hao wanaoua watu ndio hao hao wanaoiba rasilimali za nchi yetu kwa kutumia makaratasi kwa njia zisizofaa.
 
Wewe nawe acha unazi wa kishamba kutetea kila kitu,lile Box wame-scan wameona image haieleweki na Box limeandikwa details za uongo na ndiyo maaana wamelifungua ndiyo wakakuta zile nyara za serikali.Inamaana kama sheria ingefuatwa kuna utaratibu wa kusafirisha kimataifa!
 
Sasa ni gombania goli mjomba.
Jitahidi uingie uwanjani upate raha
😳😳😳😳😳
 
Ila hawa Majambazi wa CCM usijekukuta ata sisi raia wa Tanganyika tunatafutiwa soko mahala tuuzwe![emoji1787]
 
Kwanini yule Biosecurity officer ame-suspect kama ni halali?
 
Sasa wamescan, si lazima walinde usalama wa kwao? Au?

Hakuna ushabiki, usiwe mjinga, Tnzania tuna sheria inayoruhusu kuwinda na kuwakausha wanyama na kuwasafirisha.

Tuna sheria mpaka ya kusafirisha wanyama wakiwa hai. Tusiwe wajinga.

Kuna vyura tumepeleka USA tena tunavilipia kuwekwa huko. Au ulikuwa hujazaliwa bado? Soma kuhusu vyura wa kihansi.

Usifikiri watu wote tu wajinga kama wewe, hata sheria za kwenu huzijuwi.
 
Ni nyara za serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.

View attachment 2742926
Waziri wa utalii alikuwa nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…