FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wajinga ni nyinyi, sheria za nchi ziko wazi. Mnyama akizeeka anauzwa kwa mnada watu wanamlamba risasi wanachukuwa mabaki yake kihalali kabisa.Bi MKORA unamahaba na ccm mpaka umekua mjinga mazima!! Huu upupu ni wa kuandika hapa kweli?
Nawashanga mnashangaa hao simba na chui wazee hamshangai, binadam wanaojipeleka wenyewe kwa ushoga.
Nyie hata Austria uzi huu mmeibadilisha kuwa ya Waarabu. Chuki za kijinga hizo.