Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

"Tumalize hapa hapa" 😄 🤣 😂
 
October 2pm pole sana. Tanganyika/Tanzania ina mifumo na vimifumo ambavyo hata nyerere ndiyo vilimuondoa, yaani aliyeviasisi vilimuondoa sembuse nani wamshindwe??? In short ukipingana na mifumo utaelekea kuona unataka kushinda kumbe wenzako wanakupeleka zaidi ili wajue wote waliopo nyuma. Mimi ni mkulima sijui kitu ila ushahidi unaonesha hata Ben Mkapa alichezewa game alipokuja na mgombea wake, same kwa Kikwete, so kwa hali ya sasa hatuwezi kujua, ila tu kaa ukifahamu kuwa mifumo yetu iko kama maji yaani huwezi kumjua nani ni nani na nini ni nini na wakati gani, so pole tena na pole tena, ila inawezekana ukalia machozi kama tulivyolia kwa Dkt Magufuli maana hakuna aliyetegemea Dkt Magufuli atakufa
 
Da Mwaju chamba taratibu basi, humu si kila mtu anajua lugha zenu wanawake wa kipemba.
 
🤣🤣🤣🤣
Kubaaaabaaaababake zenu.
Ndani ya chama lenu la majizi mnaanza kumkataa mama yenu vizuri saaana hii kwetu sisi watu wa NRNE.
lakini pamoja na yote hana uwezo wa kuwa raisi. Ni moja ya raisi wa hovyo mpaka sasa.

Kwa taarifa yako wee nyumbu, hiyo NRNE election imetokea chama kubwa kwa bwana Yule, akampa mzee wa bapa kabla hajafurushwa, ilikuwa trick tuu kumtingisha Mama.
Lakini kila kitu kilivurugwa baada ya uchaguzi wa chadema. Mengine yabaki kwenye faili
 
Wamwaga damu wapi? Wee ulisikia Zanzibar kuna wamwaga damu...
Hizo tabia za bara, ushanfahamu? Ustaarabu tumeumbiwa
Baada ya mapinduzi mliuwana Sana na kusababisha kifo cha mfalme baharia toka Malawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…