Awamu ya Tano iliua UDART, hili tuliseme wazi si kumung'unya maneno

Inaonekana huna hata ABC ya biashara. Unafahamu aliwekeza kiasi gani? Profit margin projections ilikuwa kiasi gani? Na alipoanza kuuendesha mradi, kulikuwa na tofauti gani kati ya projections na mapato halisi?

Unapotaka kuanzisha mradi, kuna projections za gharama za uwekezaji, uendeshaji na mapato. Mradi ukianza, unakutana na uhalisia. Yawezekana kwenye uhalisia, gharama halisi za uendeshaji na mapato halisi ya biashara, vikawa na tofauti kubwa na projections. Lazima ufanye review. Na kwenye review, kuna items ambazo utakuwa huna uwezo wa kuzibadili, kama vile bei ya mafuta, kodi, bei za vipuli, n.k. Hivyo unabakia na maeneo machache sana ya kufanyia marekebisho, zaidi ni kwenye nauli.

Huwezi kusema hakukuwa na mabadiliko ya gharama wakati hujui kama toka mwanzo alikuwa anaendesha kwa faida au hasara.
 
Hiyo unayoisema huwa ipo kama Serikali ikiwa inaongozwa na wenye busara.

Lakini mkipata kiongozi asiye na busara, nani ana msuli wa kuizuia serikali inachotaka kufanya, hata kama ni kuvuruga na kufuta mkataba wenyewe?
 
Kudai sawa. Kudai halafu mshindwe kuendesha hata kidogo walichokuwa mlichokuwa mkipata kwa kodi hola sasa, sasa huu si upuuzi.
 
Tatizo kubwa si hilo.

Tatizo ni kutaka kulazimisha serikali kufanya biashara ambazo haiwezi, pamoja na "kuwafanyizia" wafanyabiasgara wazalendo.
Pamoja na yote hayo, magu hakupenda kuona watanzani wote tunaishi kwa raha na kumiliki njia za uchumi.
Haijawahi tokea maji yakapand mlima, ndivyo ilivyotabia ya pesa, haiezi toka kwa masikini kwenda kwa tajiri

Pesa hutoka kwa tajiri kwenda kwa masikini
Magu kakomba pesa za majiri, kaua biashara zao akidhani anawakomoa hao kumbe huku kajambani tuna Hali mbaya kuliko
 

Mkuu Asante sana shida humu wengi ni waropokaji tuu!
 

Umeandika usicho kijua! Hahahaha
 
Mkuu Asante sana shida humu wengi ni waropokaji tuu!
Ndio maana hawawezi ku refer huo uzi utawaumbua. Watu wanaofanya mambo kwa malengo fulani hufikiri kila wakati wanaweza kutwist mambo kirahisi tu.
 
Ndio umuhimu wa kusoma na kuelewa mkataba. Unapoweka tender na kaweka bei ya chini ili tu ushinde tender na kutegemea uta negisiate mbeleni, ni wewe ndio itakuja kuumia.

Simon group was a not best fit to run this company, they haven't run any public service company before and their not willing to put down a substantial investment.
 
Waruhusu pawepo na private investors kama 3 hivi kwenye UDART. Miundo mbinu ni ya serikali lakini mabasi yawe ya wawekezaji binafsi. Wakiruhusu hili kutakuwa na ushindani na efficiency itaongezeka kwa 100%
 
Wewe ukienda hospitali una tatizo linahitaji upasuaji wakikuambia atakayekupasua hana elimu na ujuzi wa upasuaji..utakubali?
Kila fani inahitaji elimu, ujuzi, maarifa na uzoefu ili angalau kuwa na uhakika wa kufanikiwa, Kisena hakuwa na uwezo kurun sekta ya usafirishaji...tuache ubabaishaji na umachinga kwny kila jambo..kifupi hakustahili!
 
Weka ushahidi hapa kuwa alilipwa 10% na sio kubwabwaja hapa
 
Awamu ya Tano imeboresha UDART,makusanyo ya UDART makubwa sana MABASI ya UDART barabarani ni Mengi Hakuna Malalamiko ya Wananchi Kabisa
 
Kisena aliwekwa kama chambo tu. Ile kampuni ya SIMON GROUP ina wahusika wengi sana wakubwa, akiwepo Profesa Kapuya na Marehemu Idd Simba. Kuna vigogo kadhaa wamo mle. Ukipekua humu JF kuna mada inayoongelea SIMON GROUP, utayaona mengi sana
Kwani Watanzania wakiungana na kufanya biashara nyie wakodoa macho wa maofisini mnatafuta visingizio vya kuchafua biashara.
Stupid idea! UNajua kwa nini tunawasaka watu wa money laundering duniani kote?
unawasaka wewe na nani.
Mtu anafanya biashara vizuri tu, akiweka benki zinatafunwa na TRA.
Akiweka nyumbani money laundering!
 
Kweli mkuu
Huo ni ukweli usiopingika.
 
ujinga mwingine huu acha kumsingizia marehemu wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…