Awamu ya tano ndiyo ya hovyo kuliko awamu zote

Mungu na Pombe havipatani hata kdogo.Palipo na Pombe Mungu hayupo palipo na Mungu Pombe haipo.Mpka sasa bar zote zipo wazi mtaomba mpka mchanganyikiwe.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama awamu ya tano iliweza kuchukuwa hela za michango kwenye majanga yaliyowatokea raia, na mimi nasema awamu ya tano ni moja ya Taasisi fisadi sana!

Kama mafisadi hakuna hela ya nchi hii anayo nani?

Yani kubalance tu hela iliyopingwa wameshindwa,yani awamu hii wizi waziwazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awamu za 1 - 4 wao walishughulikiaje tatizo la Corona?
 
Nimefuatilia post zako nyingi sana hutumii akili, sijui ni makusudi au kuna kitu kinamiss kichwani. Uchumi gani unaouzungumzia? Hata kuajiri tu ameshindwa, atapata wapi akili ya kujenga uchumi!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I agree...

ilikua kama Gold ...

Now muda umepita tumejua ni Gold feki..

Bahati mbaya tunalo hili kwa kipindi kingine….
Tutakuwa wajinga wa kiwango cha SGR,labda hizi robots zisizojielewa zinazoitwa police ndo zimsaidie,police wa nchi ile tu ndo anaona kutii amri ni muhimu zaidi ya maisha yake na ndugu zake
 
BAVICHA mnatukwamisha kimaendeleo. Kama mngechapa Nazi kama wanaCCM maisha yangekuwa murua kabisa
 
Ukweli ni kwamba huyu mtu hana nia njema na watu wa taifa hili. Anapenda kuona watu wanataabika. Kila anachofanya ni kutekeleza sera yake ya "Expect No Mercy". Haguswi na usalama/uhai wa raia.

Wananchi wakifikwa na majanga badala ya kuwafariji anawasemanga kwamba ni kutokana na ujinga wao. Kiufupi ni kwamba hajali watu, anajali vitu. Lakini anapoleta msimamo kwamba hataiweka nchi lockdown kwasababu tu eti kuna nchi jirani wanategemea rasilimali zetu na kwamba watapata shida, ni ushahidi kuwa anawatoa kafara raia wake kuokoa raia wa nchi nyingine (ndugu zake).
 


Kampeni ya kuondoa Mabusha hahahahhahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu umepinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…