Awamu ya tano ndiyo ya hovyo kuliko awamu zote

2017 tuliambiwa atakae bakia mjini Hadi juni ni mwanaume huu mwaka wa tatu bado tupo Sana mjini wamekimbia wao wametuachia mji tunadunda hatufi kwa Corona Wala kwa kusomeshwa namba.
Eti Rais anachekelea wananchi wake kuwa na maisha magumu huyu si Kichaa huyu ? Kwenye kampeni aliahidi akiwa rais anataka watu waishi kama mashetani. Ndio maana Tetemeko lilipo wakumba Kagera akapora michango ya wananchi. Akapora tena michango ya Wanafunzi waliopata ajali kule Manyara ili atimize ahadi yake kuwa watu waishi kama Mashetani. Halafu akawaambia Mwafaaa. Hili jamaa ni katili bobezi lina roho mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tungejifunza kwa Wachina ambao sasa wanaelekea kuidhibiti Corona wakati wao hawamjui Mungu.
Huko zilikoanzia dini wamefunga kila kitu - Saudia na hata Rome hakuna ibada, sisi kwa kuamini miujiza hata pale wanasayansi wanatupa hatua za kufuata ili kujikinga na ugonjwa huu tumekomaa na ibada.
Mahali kama Zanzibar ilikuwa rahisi sasna kuudhibit huu ugonjwa tangu mwanzo kwa kufunga mipaka, lakini kwa kupenda pesa kuliko uhai wa watu wakaendekeza utallii na sasa janga hilo.
 
Ttzo liko kwa waliokosea kuchagua,japo aliwatahadharisha kwamba wakimchagua atawwafanya watu kuwa masikini kwa kuwalimisha meno, kuwasomesha namba,alichohaidi ndicho amekitenda.Watu wakirudia tena kosa wasimlaumu mtu Hali itakuwa mbaya zaidi
 
Kuongoza Nchi inatakiwa busara sana siyo kutumia nguvu kwa kuwa una vyombo vya kukusaidia na wala siyo kujenga bara bara na Madaraja na Reli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Athari zacorona na madawa ya kulevya ni sawa? Tumia akili wewe.
Mbona hulali njaa wa kuwawekea wanao ambao hawajazaliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule fisadi mkata viuno yupo gereza gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila Jamii ni ya kuwapa leseni za udereva zingine ziishie kwenye utingo udereva ni akili sio nguvu ni utingo
Na atatumia kila namna kukatalia madarakani................
Hili linanijia kichwani kila siku
 
Na atatumia kila namna kukatalia madarakani................
Hili linanijia kichwani kila siku
Ahaa wapi Hana pa kushikia au la hata akikatalia aliye mtini mngoje chini at the end atashuka tu akumbane na kesi zake
 
Na atatumia kila namna kukatalia madarakani................
Hili linanijia kichwani kila siku
Hapo ndio naogopa sana .ataiba kura za uraisi na wabunge .Kama alivyofanya Mugabe atashinda kwa asilimia 99.9 alafu nchi itaangamia Kama Zimbabwe tuendako Ni kugumu sana .he has run out of ideas but he still want to be a president .sad
 
Jitihada zinazofanywa na kamati zilizoundwa pamoja na wakuu wa mkoa ili kuthibiti kusambaa kwa maambukizi ya corona wewe huoni

Endelea kulaumu wanaume wako kazini
vaa BARAKOA YAKO VIZURI nawa MAJI TIRIRIKA, Usisahau KITAKASA MIKONO
 
Unaidharirisha bia, jiite hata gongo yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…