Awamu ya tano ndiyo ya hovyo kuliko awamu zote

Huwezi kufanikiwa kwa kujiona mungu mtu, huyu jamaa huwa hapendi kushauriwa
"he considers himself omnicients"
even if he is, he pretend not to believe that he can't omnipotente


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu swali, watu wameuwawa hawajauwawa, wamejeruhiwa hawajajeruhiwa, acha porojo za kinafiki.
 
Kwa hiyo unamaanisha mkulima ana hela, mfanyakazi ana hela, mfanya biashara ana hela!? Ivi we unaujua mzunguko wa Pesa, au unaumwa COVID-Mahaba!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaa wapi Hana pa kushikia au la hata akikatalia aliye mtini mngoje chini at the end atashuka tu akumbane na kesi zake
Pia uzee na kifo vipo...... Mungu atatusaidia tu tuliondoe mapemaaa
 
Hakuna nchi yeyeto duniani iliyowahi jengwa kwa mawazo ya mtu mmoja.Taifa lolote pasipo mashauri ni lzm litaangamia biblia yasema
Huu ndio ukweli ambao maviongozi ya Africa yanaukataa kilabwakiingia madarakani
 
Hapo ndio naogopa sana .ataiba kura za uraisi na wabunge .Kama alivyofanya Mugabe atashinda kwa asilimia 99.9 alafu nchi itaangamia Kama Zimbabwe tuendako Ni kugumu sana .he has run out of ideas but he still want to be a president .sad
Surely.,......THE DAR FUTURE EVER
 
Lockdown kwa Tanzania can be worse than COVID-19 itself....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungejua ana majonzi na miradi yake ya stilas, sgiero, flaiova, madaraja..

Amemiss kufukuzisha watu kazi,

Aliwahi kusema tunpesa ya kula mwaka msimaa, sasa aprovu hiyo maana kodi mwezi huu bil.600.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungejua ana majonzi na miradi yake ya stilas, sgiero, flaiova, madaraja..

Amemiss kufukuzisha watu kazi,

Aliwahi kusema tunpesa ya kula mwaka msimaa, sasa aprovu hiyo maana kodi mwezi huu bil.600.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mapato yanazidi kushuka kiasi hiki.na akiiba kura baada ya UCHAGUZI tutakuwa Kama zimbabwe.so far hakuna uwekezaji Ni shida tupu
 
Kweli wewe Bia Yetu
 
Yani mapato yanazidi kushuka kiasi hiki.na akiiba kura baada ya UCHAGUZI tutakuwa Kama zimbabwe.so far hakuna uwekezaji Ni shida tupu
Najutia yale mabilioni ya kuwachagua akina Waitara bila sababu. Hivi kweli tunapoteza mabilioni ya fedha kufanya uchaguzi wa watu eti wanahama chama leo na kesho wanaomba kuchaguliwa tena kwa mabilioni? Ujinga gani huu kwetu watz? Hivi kweli tunapanga foleni na kuteketeza fedha kwa mtu anayesema anaunga mkono juhudi halafu anagombea tena baada ya kula mishahara na kuvimbiwa na kisha kuja kutunyangánya hata muda wetu wa kwenda shambani na kazini kuzalisha!
 
Wewe ni waovyo kama Corona!
Mimi ni wa hovyo wew uvccm eeh !! haya bnaa. Lakini umesikia habari za vifo vya wabunge wa ccm na mbunge mwingine wa ccm yupo hoi kitandani ? Majitu mengine ninyi ni kama Kenge haisikii na kuelewa mpka lipigwe litoke daamu. Endeleeni kupukutika kwa ujinga wenu huo. Mwafaa mwenzenu kakimbilia Chatle.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…