Awauzia wakazi wa Dar es salaam mishikaki ya nyama ya Mbwa kwa zaidi ya miaka 10. Adai wanaipenda, ni tamu

Hii kashfa imeikumba sekta ya mishkaki Mbinga ilishamiri sana majiko ya mishkaki madogo kwa makubwa hadi yakafungwa sabufa ukiskia tu mziki unajua mshkaki unapita mitamu balaa..baada ya skendo ya kuchinjibwa majibwa na kichwa kuitwa makaburini wengi wameacha biashara hakuna anaepapatika na mishkaki tena labda uwe mlafi wa nyama wafia mishkaki bado wanakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…