Hii kashfa imeikumba sekta ya mishkaki Mbinga ilishamiri sana majiko ya mishkaki madogo kwa makubwa hadi yakafungwa sabufa ukiskia tu mziki unajua mshkaki unapita mitamu balaa..baada ya skendo ya kuchinjibwa majibwa na kichwa kuitwa makaburini wengi wameacha biashara hakuna anaepapatika na mishkaki tena labda uwe mlafi wa nyama wafia mishkaki bado wanakula