AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Lakini AY ni kati ya wasanii wa kwanza kufanya mziki na wasanii wakubwa wa nje,we huoni somehow kuna connection , kufanya mziki na Sean Kingston clouds walisaidia?hivi mkasi haikuwa yake na ilikuwa haidhaminiwi? ,kimziki inawezekana hana mafanikio makubwa lakini je nje ya mziki hana biashara?
Kilichonifanya nikasirike ni UONGO!

Uongo offends people...And Im offended by these horrendous stupidity!
 
Sijamchukia as a human being..

Nimechukia UONGO unaotoka kwake kwa ku-propagate LIES for stupid reasons like these!

Nikimchukia AY kuna mahali nalipwa?Is there any incentive I get?Nothing

This talk is nonsense!
Kwa nilivyofatilia kuanzia page ya kwanza mpaka hii jinsi unavyojibu, no doubt unalipwa kwa kumchukia mshikaji na kama hulipwi basi unastahili a medal kwa kua volunteer mzuri na mahiri.... lol

Nilijua unamfahamu A to Z kumbe hata wewe hujui ishu anazofanya ila unatamani kuzijua mpaka akamiliki mjengo, inaweza isiwe kama hiyo pichan ila sio big issue kua na nyumba LA bhana.
 
Naona umewawashia full lights..hahahaaa!

Mimi mtazamaji maana huko yuesiei nakuonaga kwenye movie tu.
 
Ndugu kama ulikua hujui Ay ni broker wa wasanii wote wa kimataifa wanaukuja bongo na afrika mashariki, hata huyo mond bado anatumia mtandao wa Ay kufikia malengo yake.
Zamani sasa hivi ni DMK Global ndie anayewaunganisha wasanii wa kibongo,ila Mond anapata show mpaka kwa mapromota wa Nigeria,sababu Meneja wa Wizkid ,bwana Sunday ndiye anaye meneji kazi za Diamond West Africa.
 

LA hakuna nyumba kanunua,labda kapewa....

Tangu mwanzo nawaomba mnipe just address ya hiyo nyumba mimi niwawekee mmiliki wake hapa tuona kama ni AY!

Makampuni yake mtoe majina tu mengine tuachieni tutatoa data hapa...ila kimya mpaka sasa!

Mnaishia kutoa rhetorics tu!

Msifanye watu watoto bwana,mna-insult our inteligence na we are offended!
 

Maisha yamekua magumu watu wamewehuka, unaweza msalimia mtu akakutukana🤣🤣🤣🤣

Sijawahi ona mwanaume ana chuki kama huyu sijawahi ona duuh!!
 
Mkuuu wewe ni mshindi katika uzi huu naona umeujaza hahahaha duuu kuna kitu AY kakufanyia si bure hahahaha wewe ni bingwa wa ubishi kwenye nchi zilizo chini ya jangwa la sahara hahaha
 


Mkuu taja hao wasanii....then kwenye column ingine taja wasanii wa Diamond then utajua maharage ni mboga na sio zao la Biashara!

Ndio utaona heavyweight ni nani!

AY amepita pita tu...na kua wa kwanza sio eti ndio umefanikiwa!

Hebu acheni kutuona vilaza bwana....This is too much now!
 
Maisha yamekua magumu watu wamewehuka, unaweza msalimia mtu akakutukana🤣🤣🤣🤣

Sijawahi ona mwanaume ana chuki kama huyu sijawahi ona duuh!!


Chuki wapiiiiii.....

Uongo ukichambuliwa mnasema chuki...Hivi kwanini Africa tuko hovyo hivi?

Culture ya uongo na unafiki mmerithi wapi aisee?
 
Maisha yamekua magumu watu wamewehuka, unaweza msalimia mtu akakutukana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sijawahi ona mwanaume ana chuki kama huyu sijawahi ona duuh!!
Hahahaha anakwambia "don't insult our intelligence" yaani anatamani amjue AY ila ndio hawezi sababu sio mtu wa misifa.
 
Mimi kutokua na kitu sio haki ya wewe au AY kudanganya!

Majitu maongo ni bure sana!
Mkuu unaweza thibitisha ikiwa AY kadanganya? Unajua biashara zake nyingine anazofanya nje ya music industry?
Kumiliki nyumba US isikupe woga, zipo nyumba za bei nafuu ambazo hata wewe mbongo ukiwa na biashara ya kati waweza miliki, usiishie tu kutoa maneno ya kejeli bila uthibitisho.
 
Jamaa ni pathetic hater, kabla ya yote alitakiwa afahamu kuwa AY ni miongoni mwa wasanii wachache ambao walifanikiwa kupata exposure kubwa kimataifa kupitia mziki! AY amekuwa na connections nyingi EA mapema sana wakati ameanza ku peak kimuziki na ameweza kupata connections nyingi za mamtoni iwe kwa msaada wa managers tu ama juhudi binafsi but jamaa amepata exposure kubwa kuwahi kutokea kwa msanii yeyote wa bongo flavour hapa EA! Mr Nice nae alianza vizuri ila aliishia kupuyanga maana hakuwa na business strategies he lost the wand! Ila kwa EA Jose Chameleone ndio alikuwa leader kabla hata ya AY! You can not prove how this benefited him but sote tunajua umuhimu wa connections kwenye support ya biashara na maisha kwa ujumla!

Kingine kinachoonekana dhahiri Cycle ya watu wanaomzunguka AY pia sio wapuuzi wapuuzi na ukijumlisha na maarifa aliyonanyo kibiashara jamaa ameweza fanya investments nyingi tu, zingine tunaziona na zingine tusizoziona ila ameanza piga mkwanja mrefu tu maybe about 9 years ago, sasa ufanye biashara za maana muda wote huo ukose hata B1 kweli? Shida ni kwamba jamaa sio mpiga makelele ndio maana hata wengi hatuwezi elewa anaingizaje hela, ila sura ya pesa inaonekana tu! Pengine ana good financial advisors who knows! Mwisho wa siku mi naamini jamaa ana hela kweli si mboyoyo kwahio wanaochukia waendelee na chuki tu!
 
Labda apartment!.... Asitufanye watoto!!
Kwa hyo apartment ndio mmeona ni bei rahisi kuliko nyumba? Wabongo mnachekesha kweli, kuna apartments kibao hapa dar bei yake ni zaidi mara 3 ya kumiliki nyumba...
 
Ha ha ha ha jamaa umechukia kishenzi aloo
 

Mkuu,ni rahisi sana mimi kuamka asubuhi na kukuna mapumbu yangu sebuleni kwangu na kuanza kuchapa JF eti ninamiliki MELI au MAKAMPUNI 60...

Then kudhibitisha kua ninazo ndio mziki!

Ili kuua mzozo,jamani naomba walao mnitajie majina tu ya hizo kampuni zake,na address ya hiyo nyumba hapo LA!

Just Google norminal price of a house in LA,itakuja ni dola 600,000....Sasa tukupiga hesabu za possible earning scenerios za AY kufikia disposable income ya namna hiyo zinakataa kabisa!

Nisaidieni,orodhesheni hapa,mimi nitafanya uchunguzi binafsi then tutaweka majibu hapa kuondoa utata uliopo!

Ila hii kitu ya kutufanya sisi watoto wadogo muache!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…