AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Hahahhaha
 

Ni kweli.

Kwa kutumia tu real address mtu unaweza kujua hiyo nyumba ilijengwa lini, inamilikiwa na nani, iliuzwa lini, ina ukubwa gani, kodi kwa mwaka inagharimu kiasi gani na kadhalika.

Nachoona ni kwamba wengi humu hawajui haya mambo ya real estate yakoje huko Marekani.

It’s very easy to know who owns which property by just using its physical address.
 
We jamaa una chuki hivi kati ya AY na Diamond nani ka anza kuimba na nje hasa US?
 
Wewe ndio unatoa accusations kwamba AY ni muongo, kwa kawaida (kama hujui) ukitoa accusations zozote burden ya kuthibitisha hizo accusations inakua kwako. Kwahiyo burden ya kuthibitisha madai yako kwamba AY anatafuta kiki unatakiwa ipo kwako. Otherwise utakua unachokisema ni story tu( mnazopeana vijiweni?).
Halafu kuna sehemu umesema numbers aren't adding up, nilikuuliza what are the numbers that dont add up ?? Show us the numbers.
 
What wrong with you bro....Chuki za nn izo na AY kama yeye kasema uongo wewe tatizo lako nn au unafaidi nn na pesa au mali za AY mpaka povu ilo. Vijana tusifu vijana wenzetu wanao piga hatua sio majungu na roho mbaya

Ubaya ni wa kuchukia popote!

UONGO ni ubaya!

Mtu anapoona ubaya halafu hasemi kitu ni mmojawapo wa wafanya ubaya ule!

UONGO ni wa kupinga kwa strongest terms possible!

Im sorry if you are feeling Im a hater..I cant control how you feel,I can only control myself!
 
We jamaa una chuki hivi kati ya AY na Diamond nani ka anza kuimba na nje hasa US?

Kaanza AY sababu yeye ndio wa kwanza kuzaliwa...

Wangezaliwa mapema Diamond angeanza yeye!

Na kuanza haimaanishi ndio kafananikiwa!

Kama ni kutoka hapo Dar,then AY alifika Chalinze na Diamond ametoboza mpaka Kigoma kabisa!

How in your right mind can you compare Diamond na AY wewe?

You are making us suspect your intelligence fitness aisee!

How dare are you?How DARE?

All you AY minions are under influence,you are not in control of your well being kabisa!

What substance are you minions smoking?
 
Oooh... Sasa nimeelewa, kumbe mabishano yote haya ilikua ni kumpambanisha na diamond? ? Oky
 

Burden ya ku-prove umenigeuzia mimi?

Alie-claim ana hizi mali ni mimi au yeye?

Adhibitishe "UMILIKI",basi!

Hata mimi naweza sema nina hela zaidi ya Bill Gates,ni jukumu langu kuwadhihirishia na sio nigeuke eti niwaambie nyie mdhibitishe!

Ni semi-kichaa tu ndie anaweza kufanya hivi.....Im really sorry for you!
 
Oooh... Sasa nimeelewa, kumbe mabishano yote haya ilikua ni kumpambanisha na diamond? ? Oky

Soma ilikua ni reply yangu kwa comment ipi..

Nimejibu kutokana na comment ya muhusika hapo juu!

Kichwa cha habari cha thread kipo wazi,haya mengine ni matangazo baada ya habari!

Sasa kama wewe unajifanya kupata uhalali wa kuchepusha mada sababu ya reply yangu kwa ile comment ya jamaa basi go ahead play yourself!
 
Wewe una burden ya kuprove accusations kwamba AY ni "muongo tuu na anatafuta kiki" maana hizi accusations ni wewe ndio umezitoa, wewe umetoa accusations zithibitishe, simple!!
 
Tuelezeee vizuri?Cuz tunaona kama emotions zimetawala kuliko fact.Tuambie kwanini no uongo na kwa nini sio tajiri kibongo bongo
 
Wewe una burden ya kuprove accusations kwamba AY ni "muongo tuu na anatafuta kiki" maana hizi accusations ni wewe ndio umezitoa, wewe umetoa accusations zithibitishe, simple!!

Ni uongo mpaka pale atakapo tuonesha umiliki!

Hata address tu hamtoi,sasa hiyo nyumba ina exist wapi kama physical address haipo?

Yeye ndio katoa claims ambazo sio approved...tudhibitishie umiliki wako kama kweli wewe ni owner!

How can a true owner ushindwe kitu kidogo namna hii?

Msitufanye watoto aisee..We are offended mnachezea uelewa wetu kibwege bwege!
 
Mimi na andika kiswahili una kuja na vingereza viingi ili uonekane msomi? nikianza kuandika lugha nyingine hapa tuta elewana! ?
 
Wewe kutokua na address haifanyi yeye kutomiliki chochote anachomiliki
Natamani ungelikua unamjua AY in person....
 
Mimi na andika kiswahili una kuja na vingereza viingi ili uonekane msomi? nikianza kuandika lugha nyingine hapa tuta elewana! ?

Acha kuonesha upumbavu wako..

Hivi mwaka 2018 bado Tanzania tunalalamika kuhusu Kiingereza?

Hivi kweli?Kabisa?

Acha upumbavu kabisa...

Acha kuonesha you are scared of English language..Ni lugha tu,kwanini unaogopa lugha?

Kitu umesoma kuanzia darasa la kwanza mpaka Chuo Kikuu halafu unageuka unaanza kulalamikia lugha?You people are in cocaine kabisa!

Yaani umegeuzia manung'uniko kwenye lugha ya Kiingereza?Really?Mpaka lini tutaacha hiki kilio cha kipumbavu kabisa cha kujitakia?

Ulienda shule kusoma ugoro?Tangu la kwanza mpaka chuo kikuu ulisoma Kiingereza,hivi leo unalia kwasababu ipi kama sio uzembe wako binafsi?

Mapungufu yako usihamishie kwa wengine...Hujui Kiingereza ni your own problem,usilete ngendembwe kabisa!

Unahalalisha uzembe wako binafsi kipuuzi namna hii?

Rudisha ada yetu tuliyokulipia kuanzia la kwanza mpaka chuo kikuu,huna maana,hufai kabisa...

Zembe kabisa!
 
Niambie hela kapata wapi step by step...

Huwezi!

kwanini nisiwe na haki ya kusema ni uongo?
1.Ay ni msanii kafanya shows kibao kwa muda mrefu.
2.Ay ni mfanya biashara akifanya biashara nyingi za aina mbalimbali kikiwepo kilimo,Ay analima mashamba makubwa ya mpunga kabla Masanja mkandamizaji hajaelekea huko.
3.Ay ni "link" ya music for east africans artists abroad
4.Nimeshuhudia kitambo jamaa ananunua kiwanja sehemu kwa pesa inayozidi 80M Tsh
5.Ay racked in for several years pesa za matangazo kutoka Airtel kwa vipindi vya television kama mkasi hivi
Kingine kakuambia atahamishia makazi huko Marekani(Subiri uone).
6.Ay kapiga pesa za ulanguzi wa cash crops kitambo kabla hazijaanza hizi mambo za sasa hivi,we ulikuwa umelala na "american dreams" zako wadau wanaingia field wanapiga hela. Sisi ambao tuna struggle kwa nguvu kubwa halafu tuna yield poor huwa tuna hasira,tuendelee tu kukomaa tutashinda mkuu
 
Personally unamjua wewe...we do not care!

Kitu kimekuja kwenye public domain.....Public ndio sisi,tunataka address!

Otherwise asingeileta kwenye public domain...!

hebu msituone mapumbavu kabisa!
Narudia "wewe kutokua na address haifanyi Yeye kutomiliki chochote anachomiliki" na nilikuuliza what numbers aren't adding up kama ulivyo claim kua numbers aren't adding up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…