AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Mkuu nimeanza kukuelewa kwa mbaali sana,sorry kwa kukuita hater,maelezo ya Nyani Ngabu na ufafanuzi wako umeniingia akilini🤝
 
Mzee wa kutikana mimi nme soma Mocàmbique nikikujibu ki portguees humu tuta elewana?
 
Mkuu nimeanza kukuelewa kwa mbaali sana,sorry kwa kukuita hater,maelezo ya Nyani Ngabu na ufafanuzi wako umeniingia akilini🤝
Hawa jamaa wakienda marekani wanaakuwa na story za kiduanzi kufikiri wao ni intelligents,they know things wakati sometimes "watupu tu". Huko unakuta walienda au wako kwa pesa za baba zao.
Watu wako bongo walinunua hisa za makampuni makubwa kama Facebook e.t.c ukiuliza hawa wanakwambia asie resident haruhusiwi wakati kuna njia za mzunguko unapitia hata kwa Charles Schwab ukiwa na kama 30 million unaparticipate NYSE sijui NASDAQ, hivyo hivyo na katika Mortgage kuna njia za mzunguko usiwaamini sana hawa wamarekani watanzania wa hela za baba sijui katoliki,wasikilize Ma OG wenzako kama Masanja Ay na mhalifu kama Mponjoli ukibahatika
 
Hili povu mkuu, kuna usalama?
 
1.Ay ni msanii kafanya shows kibao kwa muda mrefu.
Kiasi gani cha pesa?

AY as a musician ni even smaller than MwanaFA carrier wise!....Hela za kuperform na music sales MwanaFA is above AY day and night!

Can AY perform anywhere on earth kwa 10mil a show?NEVER!

Lets say kafanya collection baada ya costs zake total 100mil so far ,say that.....

2.Ay ni mfanya biashara akifanya biashara nyingi za aina mbalimbali kikiwepo kilimo,Ay analima mashamba makubwa ya mpunga kabla Masanja mkandamizaji hajaelekea huko.
Ndio upumbavu siutaki huu wa generalization namna hii...

Mashamba "makubwa"?Ukubwa upi?Yapo located wapi?Yanafanya uzalishaji upi?Unajua kulima heka say 3 tu za mpunga ni kiasi gani cha mtaji?

Tumpe ana hekari 100,kuzilima unajua anahitaji mtaji kiasi gani?Hivi wewe una mapepo?

Hivi ulishawahi lima ukajua agricultural inputs uzalishe mazao inatakiwa mtaji kiasi gani?

Kumiliki ardhi ya mapori heka 3,000 kila mtu anazo hizo.......jasho la matako ni mtaji kugeuka hekari 100 au 200 kuzalisha mazao...Ni mtaji zaidi ya milioni 500 kwa hekari 300...

Hapa earning alizokusanya,nikimpendelea sana nimpe 50mil so far!

Hivi mna mapepo nyie?

3.Ay ni "link" ya music for east africans artists abroa

This is unsubstantiated!

Huna account of this!Umeandika eti "Link"!Are you really serious?Tupe hesabu zake,nani na nani kashalink so far na makusanyo.

By me being so generous tufanye kapata 150mil kwenye hii biashara hewa ya "link" kama ulivyoiita!

4.Nimeshuhudia kitambo jamaa ananunua kiwanja sehemu kwa pesa inayozidi 80M Tsh

Hii uliona wewe..Who are you for us to believe you?

Hell no...

Hapa earning ni 0mil!

5.Ay racked in for several years pesa za matangazo kutoka Airtel kwa vipindi vya television kama mkasi hivi
Kingine kakuambia atahamishia makazi huko Marekani(Subiri uone).

Artel au kampuni lolote la simu hua haliongei na msanii yeyote kujenga matangazo!

Matanagazo yanajengwa na Advertising Agencies yaliyopata kazi kutoka haya makampuni ya simu..Hivyo AY anaitwa na anapewa kazi tu kama artist model kutokea kwenye haya matangazo...Ujira wake sasa,upumbavu mtupu!

Na hizi deal wanapata wasanii mbali mbali,tuseme Diamond ndio earner mkubwa kabisa wa hizi maana ndie hottest artist of all time in TZ...AY ni kauka nikuvae!

Again,nikimpendelea sana nimpe 50mil kapata so far!


Hii biashara ya Ulanguzi wa mazao kila mtu anaijua.....Upumbavu mtupu.....

Mazao gani?Mahindi,korosho,Kahawa,etc?

Nikiwa very fair nimpe 70mil made so far kama faida!


HITIMISHO:::::


Jumla ya hela possible alizojenga ni kama 420MILIONI......

Hivi milioni 420 inaweza kununua nyumba ya 1.5BILIONI kama sio mna upungufu wa akili nyie?


UPUMBAVU MTUPU!
 
Mzee wa kutikana mimi nme soma Mocàmbique nikikujibu ki portguees humu tuta elewana?

Heri ungetoa angalizo mapema kua wewe sio Anglophonic!

Tatizo ni mtu tumemsomesha tangu la Kwanza mpaka Chuo Kikuu kwa kodi zetu,halafu anakutana na sentensi mbalimbali za Kiingereza anaanza kulalamika eti hajui!

Really?

Ningekua Magufuli ningechapa viboko wote na kodi zetu zirudi zote!

Huu ni kulea uzembe wazi wazi kabisa!
 
We jamaa una wivu wa kike sana aisee
 
Mzee naona umekeshea thread. Kapumzike kidogo unywe na maji. AY anapita humu anasema hiiiii. Afu unaandika kwa emotions kichizi hata sijui tatizo lako ni nini.
 

Hivi unajua mortgage ya USA inavyofanya kazi wewe au unaota tu humu?

Tukuamini wewe mla vumbi mwenzetu tuache kumuamini Nyani Ngabu anaeishi huko maisha yake yote?Kwa lipi hasa?

Sometimes tuache ubishi usio na maana kabisa!

Kama ungekua umekaa USA kidogo wala usingeandika hiyo comment!
 
We jamaa una wivu wa kike sana aisee

I see!

Maana wivu umeumbiwa mawe?

Wivu ni animal condition,kwahiyo Im rightfully exhibiting human behaviour!

Are you crazy kumlaumu mwanadamu ku-act kama mwanadamu?

Dude,to help you out,nilikua najaribu kupinga UONGO by all means,kama kufanya hivi ni kua na wivu wa kike then so be it!

Im cool with that!
 
AY kasoma Iyunga mwaka gani bob kama sio kutudanganya hapa?

Na kumikili nyumba US mbona yeye hatakuwa wa kwanza!!! wapo wabongo kule wanamiliki mansions sio nyumba tu.

Pia huwezi ukawa unajua deals za pesa anazofanya kila siku mbali na mziki, watu wanatafuta pesa mkuu.
 
AY kasoma Iyunga mwaka gani bob kama sio kutudanganya hapa?

Hili nimeliongelea sana kwenye comments zangu huko juu..Nilikosea ni Ifunda!

Tena alisoma na my close friend darasa moja marehemu Kulembeka Y...Talk to him,he knows this soldier!

Na kumikili nyumba US mbona yeye hatakuwa wa kwanza!!! wapo wabongo kule wanamiliki mansions sio nyumba tu.
Sijasema hawezi,anaweza,ila mpaka sasa nina haki ya kusema ni UONGO maana hata address ya kudhibitisha ilipo hawatoi na pia hesabu tumepiga hazifiki hiyo 1.5bilion ya nyumba Los Angeles California!NEVER!

Give us the address and then we will look for proof ourselves!

Pia huwezi ukawa unajua deals za pesa anazofanya kila siku mbali na mziki, watu wanatafuta pesa mkuu.

Siwezi jua,ila ALL potential earning scenerios za AY au anyone can be analyzed,tume-analyze hapa,hesabu zinamkataa AY 100%!

Sasa sijui kama ana ukoo na BOT kwenda kuzoa magunia ya hela huko mtuambie!And which can NEVER happen!
 
Mbona huu mjadala ni rahisi sana kuufunga ? Jamaa kaomba adress ya hiyo property ya Ay huko LA .Mpeni address ubishi wote uwekwe hadharani kama ni Ay ndiye mmiliki basi atakuwa amemaliza calories zake bure and vice-versa is true.
 
Ebhana nimekuvulia kofia...
 
Naomba nije nikupikie roast maini Mars, serious nimekumiss Kiranga wangu.

 
Bro bado tu? hahaha plz naomba upumzike kidogo maana daah i feel energy unayoitumia ni kubwa sana.

Ila nina maswali kwako kabla hujaenda kupumzika (lol) unavyotaka Address yaani mleta mada akupe, wachangia mada wakupe au unaongea na AY ndio akupe je AY yupo humu??

Halafu unasema hujakataa hawezi kumiliki nyumba ila akupe uthibitisho hapo hapo tena unasema kwa hela zake hawezi kumiliki kwa hiyo hapo wewe umesimamia wapi? maana nahofia anaweza akakupa address ukathibitisha bado utaanza kuhoji pesa kapata wapi ukizingatia tayari ulishapiga hesabu ukaona hana pesa hiyo.

Ni hayo tu.
 
Kama unakiri huwezi juna kila mishe ya pesa anayofanya basi hakuna haja ya kupinga uwezo wake kipesa.
Mtu kama AY hawezi kuna anategemea muziki tu na shoo, lazima anabishara zake za maana, so kuspend hata 3bil kwa ajili ya nyumba ni kitu kidogo maana hiyo hela ya kawaida tu ukipambana unaipata
 
Mshkaji ni kama walicross path na A Y then anaona mwenzie anatoboa au maybe kakaa sana mbele kabeba box sasa anamind kuona mbongo anamzidi all in all wabongo tupunguze U-KAA sio lazima kuvutana chini mda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…