AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Mzee baba yako ikowapi
 
Halafu jamaa anaona ishu kubwaa mi huwa natizama Chanel inaitwa Fine living Azam kuna miji USA unapata hadi nyumba za dola 100000 so sio ishu sana

Mkuu,nyumba wanasema kanunua Los Angeles United State of America na sio Oklahoma au Oregon huko madongo kuinama!

Nataka tuelewane hapa!

Uongo ni kitu kibaya sana....

Kama mpo true sana,toeni address ya hiyo property tuwaletee ownership yake hapa tumalize utata!

Kiki za kisenge sana hizi,na zinamfanya AY aonekana hana tofauti na Hamorapa hata chembe!
 
Mkuu nimekujibu kutokana na ulivyoandika,kama mfano kweli walilipwa 1.5bil na wakagawana 0.5.Je hawezi Fanya kitu ndani ya mwaka akawa na 2.0,?ambayo ikanunua hiyo bangalo ya 1.5?
 
Yaani unasema huna chuki na jamaa but the way maandishi yako yanavyosomeka yaani inaoneka una mchukia sana jamaa sio kwa kwa kejeli hizo

Sijui jamaa kakuosea nini hehehehehh

Daaaah

Anyway am out for this bullshit Convo

Gotta doin my tings
 
Jamaa unaonyesha wazi unachuki na AY,katika wasanii ambao hawapendi kiki AY ni mmoja wao mana ana project nyingi na hakuna ata moja ambayo ameiongelea bila kuulizw.
 
Halafu uwe unafatilia vizuri yule manzi yuko na mchiz for 10 fvcking years since huyo sista sura imechakaa na kufubaa

Kuhusu huyo manzi kua nae 10years is imaterial hapa...Kamuoa mwaka huu..tunahesabu alipomuoa....Hiyo miaka mingine ni upumbavu..Alikua akitiwa na yeyote!

Tuondolee utoto hapa!

Nigga,kama unadhani mimi naamini picha za Insta or anything in that line you are dead wrong!

Mwanamke ni mwanamke!Akiwa na hulka zake ni zake yeye na AY to worry about!

Na kumtaja demu wake nilitakaja kama ku-suspect tu maana jamaa tangu amuweke ndani,the nigga has never been the same.AY alikua hana kiki za kibwege namna hii,kiki za uongo kama Hamorapa this way!

Hii ya sasa ya kusema anything just to stay relevant ni stupidity ya hali ya juu on his part!
 
Yaani unasema huna chuki na jamaa but the way maandishi yako yanavyosomeka yaani inaoneka una mchukia sana jamaa sio kwa kwa kejeli hizo
Mimi nime-debunk lies!

Sijapenda kutumia UONGO kujenga kiki kama Hamorapa!

AY ni mzee mno kufanya haya!

AY kama entertainer sina shida nae kabisa.He is very talented na napenda kazi zake,ila these lies ni derangements!

Anyway am out for this bullshit Convo

Gotta doin my tings

Mzee,yo' outta this convo coz you deep down know that these are lies!

Na nime-dunk lies perpetuated by his people if not him!

Kama unapenda UONGO then it is okay,you are a free man to like whatever you want,even lies!
 
Jamaa unaonyesha wazi unachuki na AY,katika wasanii ambao hawapendi kiki AY ni mmoja wao mana ana project nyingi na hakuna ata moja ambayo ameiongelea bila kuulizw.
Sina chuki na AY

Infact I like his work very much....Tatizo ni UONGOOOOO!

Why lie to people for the sake of cheap kiki?Why?What does it worth?

Is AY Hamorapa these days?Amuachie Hamorapa kiki za uongo namna hii!
 
Mkuu nimekujibu kutokana na ulivyoandika,kama mfano kweli walilipwa 1.5bil na wakagawana 0.5.Je hawezi Fanya kitu ndani ya mwaka akawa na 2.0,?ambayo ikanunua hiyo bangalo ya 1.5?

Kesi mpaka mwezi wa nane mwaka huu ilikua bado hakijaeleweka!

Tuseme tangu mwezi wa nane na leo mwezi wa 11 ni miezi 3...

Mzee baba,with all due respect onaweza fanya what on earth kwa miezi mitatu kwa milioni 500 kujenga bilioni 2?

Just tueleze any business scenerio it can be done!

Labda uuze unga!

Of which sio kweli,it can not be done!

Tuwe wakweli,yanini kudanganya?For what hasa?
 
Facts ya kusema alichoongea ni uongo au ukweli anajua mwenyewe wewe na Mimi hatuna uhusiano nae Mimi sio Hermy b na wewe sio mwanaFA nikimaanisha watu wake wa karibu .

Anyway i won't comeback lemme sip' my coffee
 
It always boil down to reality here:

Katoa wimbo leo unaitwa SAFARI,ndio unajengewa buzz na kiki zote hizi za UONGO...

Unajua mkuu,AY anazidi kuonekana mpumbavu kwa kutumia these old means kuuza kazi yake!

Na he is even stupidier kwa kutumia UONGO ,ku-claim ana vitu ambavyo hana ilimradi kujenga buzz ya kipumbavu namna hii!

He is just a a naive veteran musician trying hard to remain relevant kwa kusema UONGO.

Ni christmas imefika,ameona atoe single huwenda ikawa hot akapata shows here and there akapata kibarua aka-feed his family which is respectable,ila sio kwa kusema uongo namna hii!

I guess hata kutoa video yake imemshinda,katoa audio pekee yake,na what I do know watu wataitupa kapuni right quick!

Kwaio kwa fikra zako unafikiri AY hawezi kumilik hizo 2 billion?
Sina chuki na AY

Infact I like his work very much....Tatizo ni UONGOOOOO!

Why lie to people for the sake of cheap kiki?Why?What does it worth?

Is AY Hamorapa these days?Amuachie Hamorapa kiki za uongo namna hii!
K
 
Kwaio kwa fikra zako unafikiri AY hawezi kumilik hizo 2 billion?

Ni possible,ila kuna possibility kubwa sana asiweze nazo!

Nataka tuangalie scenerio hapa,na kupitia zote AY yupo kwenye bad odds kua hawezikua nazo at 98 percentile range!

Nachotaka ni wewe kunipa evidence hapa kua anazo,then we could put to rest all the doubts here!
 
Walilipwa tayari mbona acha kupotosha watu. Watu wamekula ela yao kitambo mbona..... Mahakama ilitupilia mbali rufaa yao
 
AY ana bizness zake hapa mjini na kawekeza sana kwenye ardhi toka kitambo ndo maana hata mziki anafanya kitajiri siyo kwamba unamlipa sana alijiandaa mapema sana.
Kuna siku Salama alisema AY aliposkia kuwa Mtwara kutaanza kuchimbwa gas alimwambia wakanunue maeneo mengi salama akawa ana mbwera mbwera yeye AY akawahi kununua maeneo mengi akiwa anajiandaa kwa uwekezaji.
Jamaa yuko vizuri kwa kiasi cha ukijana wa Kitanzania..
 
Achana na hearsay kama umpo kwenye field ebu fatilia vizuri, wale sio watu wa show off kama wasanii wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…