Mkuu
Kwa rule of thumb tu kwa jinsi wanapenda sifa hawa watu ungekuta zishawekwa habari kwenye media au hata instagram!
Judgement ni kitu cha wazi,na mahakamani waandishi wa habari wanashinda pale..Na hii ilikua ni high profile case including entertainers,ni juicy news hawawezi ziacha hizi habari!
Another strong point ni kuhusu wasanii wengine,wangekimbia kufungua na wao haya makesi,Tigo wangehama nchi eti!Tigo walitumia nyimbo za wasanii wote kabisa,sema AY na MwanaFA na kile kijamaa wakaamua ku-press charges walijua kuna hela watavuna!
Last time I heard kwenye news ni kua Tigo walikata rufaa!...
Tuseme labda wali-settle out of court,na kumbuka walikua watatu,AY,MwanaFA na Msando...
Na pesa waliyokua wanategemea ni nearly 3 Bilion kama wangeshinda kesi....
Katika settling out of court watakubalia hela ndogo zaidi ya hiyo,lets say 2Bilion..
Wakilipwa ukitoa gharama za kesi,gharama za ma-producers,publishers,etc inaweza baki 1.5Bilion wakagawana 0.5Bilion each....
Haya sasa,kwa milion 500 AY anaweza nunua nyumba ya USD 600,000 katika jiji la Los Angeles USA kweli kama sio uongo mtakatifu huu?