AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Huyu jamaa toka sijui post ya #05 ndo ameonyesha chuki kubwa kuliko member yeyote hapa hadi wadau huko juu wamemletea link za kesi aliyosema AY na Mwana FA walishindwa kesi ila bado hajaridhika nadhani kama unavyohisi ana personal issue na AY maana povu linavyomtoka sio la kawaida kwa mtoto wa kiume.
 
Ni wazi humjui AY, hivi unajua kwanini anaitwa mzee wa commercial? ?... Au niulize umeanza kufuatilia huu mziki mwaka gani?? AY lying? Why would he anyways?
 
Hakuna hukumu yoyote ishatoka na hakuna mtu kalipwa chochote!

Na plus,kama madai ni 2.1Bilioni,then wagawane watu watatu halafu mmoja wao akanunue nyumba ya 1.5Bilion Los Angeles California?Mlisoma hesabu chooni?

You people what are you smoking?
Acha upoyoyo we dogo kwni alikwambia alikua anategemea za kulipwa na Tigo pekee?? Ww hufai aisee mwanaume gani wewe utakosa hata mke
 
UONGO!

These extra ordinary claims you are putting forward here need extra ordinary proofs,tupe proof washalipwa!

Weka copy ya hukumu hapa,hukumu sio kitu cha siri ni public document,attach hapa mzozo uishe!
Chaaaaaa wewe kijana mbona povu hivi alikuibia nini?
 


Mkubwa unaweza kuwa sahihi baadhi ya maeneo licha ya kutumia maneno makali.

Lakini kusema AY kasoma Iyunga Tech O'Level sio kweli, hiyo inaniondolea kusadiki mambo mengine uliyoyaandika kuhusu AY.

Lakini pia si sahihi kufikiri mziki pekee ndio chanzo chake cha pesa. Naweza kubaliana na wewe kupinga kulipwa M150 kwa onyesho moja japo sina takwimu.

Shukran
 
Ndo wachawi wenyewe hawa wenye kaliba kama ya huyu jamaa
 
Unaongea mashudu gani kijana
 
Ha ha ha, alikuchukulia demu Nini?
 
Mimi simfahamu Ay zaidi ya kumuona kwenye tv. Ila kazi zake naziona alikua na project pia ya mkasi eatv so najua ni bness man ukiachana na mziki. Na siwezi kukomaza misuli ya kukashfu au kukanusha maendeleo yake ikiwa hujui hata bank ac yake ina sh ngapi. Inasikitisha sana mwanaume tena mwanaume mimi sijazoea jamani kuona kama huyo mdau hapo juu mpk anatukana kisa tuu mwenzie kuonesha mafanikio yake. Yani anaongea pumba pumba sijawi kuona. Sasa mafanikio yake na kusoma Iyunga kunahusiana vipi au kingereza chake kinakusaidia nini, ww unaejua kingereza umefikia wapi. Acha unaa mpe mtu credits zake na hata kama hajanunua nyumba atleast anatamka kwa kinywa chake na maneno huumba ipo siku atanunua. Kaa hapo na roho yako mbaya Wyatt Mathewson
 
hilo jamaaa ni chawi, sio kwa roho hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…