joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
OK.Anafanya collabo na Mr Flavor
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK.Anafanya collabo na Mr Flavor
Huyu jamaa toka sijui post ya #05 ndo ameonyesha chuki kubwa kuliko member yeyote hapa hadi wadau huko juu wamemletea link za kesi aliyosema AY na Mwana FA walishindwa kesi ila bado hajaridhika nadhani kama unavyohisi ana personal issue na AY maana povu linavyomtoka sio la kawaida kwa mtoto wa kiume.Huwezi kumpinga mtu kama humjui hapa kuna mawili la kwanza mnajuana kabisaaa na Ay na kuna kitu alikufanyia ndo maana humsahau katika akili yako na kama humjui kabisaa utakuwa ni mwehu mkubwa sana kumpinga wakati humjui so katika haya kuna moja lazima unalo kwake
Za Zimbabwe hizo.Nilicheki conversation yak twitter anasema aliandaa show mwaka 2005 akalipwa m150+ na pia alikua anahusika kuwaleta wakina EVE, Fat joe alikua anachukua m100+
Duuuh yani hzi ni chuki za wazi wazi bora hata sie tunaamini kwa sbb hujui mfukoni kwa mtu kuliko ww unasema hana wakati hujuiUna claim kua anacho sisi tunasema ni UONGO,nyie wekeni proof hapa kua anamiliki hivyo mnavyodai anamiliki!
Waongo wakubwa!
Ni wazi humjui AY, hivi unajua kwanini anaitwa mzee wa commercial? ?... Au niulize umeanza kufuatilia huu mziki mwaka gani?? AY lying? Why would he anyways?Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!
Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!
AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!
This makes AY look more stupid with these lies!
Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!
Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!
Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!
Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.
AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?
Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?
Tusifanyane watoto kabisa!
Kijiwe cha kahawa lazima yawepo haya
Si unajua tena
Acha upoyoyo we dogo kwni alikwambia alikua anategemea za kulipwa na Tigo pekee?? Ww hufai aisee mwanaume gani wewe utakosa hata mkeHakuna hukumu yoyote ishatoka na hakuna mtu kalipwa chochote!
Na plus,kama madai ni 2.1Bilioni,then wagawane watu watatu halafu mmoja wao akanunue nyumba ya 1.5Bilion Los Angeles California?Mlisoma hesabu chooni?
You people what are you smoking?
Chaaaaaa wewe kijana mbona povu hivi alikuibia nini?UONGO!
These extra ordinary claims you are putting forward here need extra ordinary proofs,tupe proof washalipwa!
Weka copy ya hukumu hapa,hukumu sio kitu cha siri ni public document,attach hapa mzozo uishe!
Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!
Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!
AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!
This makes AY look more stupid with these lies!
Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!
Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!
Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!
Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.
AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?
Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?
Tusifanyane watoto kabisa!
Ndo wachawi wenyewe hawa wenye kaliba kama ya huyu jamaaWewe huna unachojua fatilia AY,FA na Msando nwameshalipwa, hiyo rufani ilitupwa na AY,Fa Wakafungua case ya kutaka maafisa wa tigo na mali zao zikamatwe.... wameshalipwa ndio maana wanaitwa mabilionea..
Nimegundua una chuki na AY maana hiyo nyumba unayosema ana tafutia kiki hakuisema leo na watu hawajaijua leo fatilia alipost imeshapita miezi zaidi ya sita kama si mitano
Unaongea mashudu gani kijanaMkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!
Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!
AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!
This makes AY look more stupid with these lies!
Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!
Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!
Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!
Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.
AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?
Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?
Tusifanyane watoto kabisa!
Mashudu tena ya mbegeUnaongea mashudu gani kijana
Ha ha ha, alikuchukulia demu Nini?Mkuu,haijawahi tokea Tanzania hii AY kafanya shoo akapata 150mil!
Mkuu,show ya Diamond au Mr Nice,the most popular musician ever in TZ hawajawahi fikia bei hiyo kwa show!
AY is useless musically,AY kwanza hajamkutia MwanaFA kwa music,then hiyo idea ya 150mil ni uongo wa mchana peupe!
This makes AY look more stupid with these lies!
Na kuhusu kuwaleta EVE,FAT JOE,50 Cents,etc ni kazi ya Clouds Media group!
Leo AY hawezi wafundisha Clouds kazi ya kuleta wasanii nchini!Never!
Clouds ilianza kuleta wasanii nchini AY yuko Iyunga Tech anasema O Level hajui A wala B eti leo aje amfundishe Kusaga au Ruge jinsi ya kuleta wasanii wa America nchini!
Both Ruge na Kusaga lived in the US in 90's for nearly 10 years ndio wakarudi nchini kujenga mawingu..They are more connected to American artists and music agencies than anyone.
AY kabahatika kwenda USA ukubwani....who the f.uck is AY in music business mzee?
Kwanza AY anajua kuongea Kiingereza au mavi matupu?
Tusifanyane watoto kabisa!
Mimi simfahamu Ay zaidi ya kumuona kwenye tv. Ila kazi zake naziona alikua na project pia ya mkasi eatv so najua ni bness man ukiachana na mziki. Na siwezi kukomaza misuli ya kukashfu au kukanusha maendeleo yake ikiwa hujui hata bank ac yake ina sh ngapi. Inasikitisha sana mwanaume tena mwanaume mimi sijazoea jamani kuona kama huyo mdau hapo juu mpk anatukana kisa tuu mwenzie kuonesha mafanikio yake. Yani anaongea pumba pumba sijawi kuona. Sasa mafanikio yake na kusoma Iyunga kunahusiana vipi au kingereza chake kinakusaidia nini, ww unaejua kingereza umefikia wapi. Acha unaa mpe mtu credits zake na hata kama hajanunua nyumba atleast anatamka kwa kinywa chake na maneno huumba ipo siku atanunua. Kaa hapo na roho yako mbaya Wyatt Mathewson
Hahaha!!! Una uhakika?Kiki hizo. A Y hana ela ya kumiliki nyumba nje. Tanzania kwrnyewe hana nyumba
Umeshawahi ona mwanaume anakosa mke????Acha upoyoyo we dogo kwni alikwambia alikua anategemea za kulipwa na Tigo pekee?? Ww hufai aisee mwanaume gani wewe utakosa hata mke
Tukuamini wewe?
Nigga puliiiiz!
Who are u?