AY akiri kumiliki nyumba Marekani

AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Story za vijiweni,Joe Kusaga aliishi USA miaka 10?
Sasa unabisha?

Kamuulize Lemutuz,walishea hadi apartment!

Ruge kasoma undergrad kule,wamekaa nearly 10 years....sijui wewe unamjua zaidi ya confirmation ya Lemutuz?

I wonder who you are really?
 
Nyumba au apartment?

AY huyu mwanamke wa Kinyarwanda nadhani anamshinda nguvu!

Chezea Tutsi ni high maintenance women...

AY na jumba United States of America wapi na wapi?

Hajui uwongo wake unaweza kubumburuka fasta maana everything kipo online?

Kiki za kizamani sana hizi!

Eti mwanamziki TAJIRI,what a joke!
Haujui kama AY ni Mtutsi?
 
Sijachukia mtu...Nachukia jitu zima lenye mvi hadi za matakoni linadanganya umma wa watu milioni 55 sababu ya ka-single alikokatoa kama Hamorapa ili apate kiki...

Is AY this low?

Ngendembwe tupu!

Kila hesabu tulizopiga zinamkataa kabisa....Numbers dont lie but AY lies!

Huwezi jua mapato yooote ya mtu yeyotee.. Hata mkeo, so relax bro.. Unatuambia sisi tukupe evidence? Aye you serious?

Jamaa anamiliki mjengo USA, hutaki unaacha.
 
Huwezi kumpinga mtu kama humjui hapa kuna mawili la kwanza mnajuana kabisaaa na Ay na kuna kitu alikufanyia ndo maana humsahau katika akili yako na kama humjui kabisaa utakuwa ni mwehu mkubwa sana kumpinga wakati humjui so katika haya kuna moja lazima unalo kwake

UONGO kuujua ni mpaka umjue mtu personally?Man,are you for real kweli?

Really?

AY ni entertainer anajulikana na wapenda muziki,tena wa hiphop!From there,I dont who he is.....

Uongo ni uongo tu,numbers dont add up at all!

Eti leo AY ndio awafundishe Clouds how to book International artists?Are u people on cocaine?
 
Sasa unabisha?

Kamuulize Lemutuz,walishea hadi apartment!

Ruge kasoma undergrad kule,wamekaa nearly 10 years....sijui wewe unamjua zaidi ya confirmation ya Lemutuz?

I wonder who you are really?

Kwa hiyo akisema Le mutuz ndo proof? Dude!!!!!!
 
UONGO kuujua ni mpaka umjue mtu personally?Man,are you for real kweli?

Really?

AY ni entertainer anajulikana na wapenda muziki,tena wa hiphop!From there,I dont who he is.....

Uongo ni uongo tu,numbers dont add up at all!

Eti leo AY ndio awafundishe Clouds how to book International artists?Are u people on cocaine?

Ukiambiwa anauza unga?
 
Haujui kama AY ni Mtutsi?

Mama ndio Mnyarwanda....sasa sijui kwanini awe 100% Mtutsi?Anaweza akawa Mhutu vilevile,who knows?

Kwanza hata kua Mtutsi au Mhutu ni debate....

Phenotypically AY looks Mhutu more than Mtutsi.....He has Bantu stature,mfupi,etc,he has not stereotypical Tutsi structure!

Na kumbuka,Rwanda Hutu ni 88% ya population,na pure Tutsi ni 12% tu....Ni very hard kwa AY kua Tutsi in these population percentage!

By rule of thumb,Im bound to be correct kua AY ni Mhutu na never a Tutsi whatsoever!
 
UONGO kuujua ni mpaka umjue mtu personally?Man,are you for real kweli?

Really?

AY ni entertainer anajulikana na wapenda muziki,tena wa hiphop!From there,I dont who he is.....

Uongo ni uongo tu,numbers dont add up at all!

Eti leo AY ndio awafundishe Clouds how to book International artists?Are u people on cocaine?
Sasa kama unasema humjui kwa nini unabishana?hujioni kama ni mjinga?
 
Hii ya Nyumba marekani mbona ipo hapa jukwaani miezi kadhaa sasa sema yeye amethibitisha tu
Mkuu

AY anapenda show off kama wengine,sema wengine wanamzidi kwenye sector ya creativity ya hizo show off,ni kuzidiana tu,ila anapenda sana!

Pili ni vizuri mkataja hizo biashara zake hapa kwa majina hasa then sisi tutajua jinsi ya ku-prove kama kweli zinapesa hizo au na yeye ni mmiliki kweli.

Tatu,kwanini hii kiki imetoka leo aliyotoa wimbo wa SAFARI na sio wiki iliyopita?Kumbuka katoa kiki ya kumiliki vitu ambavyo HANA!AY kawa low kiasi hiki cha Hamorapa?

Twende,A to Z,taja biashara zake moja baada ya ingine kwa majina na locations then tuwa-debunk hapa hapa kweupee!

Pia tunaomba location ya hiyo property ndani ya LA ili tuwawekee hapa owner halisi wa hiyo property!
 
Watu tunataka kuhama Marekani, tuhamie Mars, nyie ndiyo mnatamba kuwa na nyumba Marekani?

Seriously, hii habari ilivyoletwa mara ya kwanza hapa, nilimtetea AY, watu walisema kadanganya, mimi nikasema what's the big deal?

Sasa naona inarudiwarudiwa sana.

Nini AY, watu tumefanya ya AZ ya "Get High", lakini huwezi kusikia kelele za kilimbukeni.

I got cribs in the suburbs, the hood, and the city
A low crib with the wiz thats pretty
A crew crib where niggas bring biddies
A crib out mid, thats hid like Diddy's
A tropic spot out in the Caymans
A Cali spot the first time I copped

AZ - Get High

Mzee wa kazi basi inatosha
 
Hakuna hukumu yoyote ishatoka na hakuna mtu kalipwa chochote!

Na plus,kama madai ni 2.1Bilioni,then wagawane watu watatu halafu mmoja wao akanunue nyumba ya 1.5Bilion Los Angeles California?Mlisoma hesabu chooni?

You people what are you smoking?
Aisee we ni bingwa kwa kubisha Africa Mashariki na kati na nchi za maziwa makuu....
 
Lol man.. mbona umemwaga povu jingi hivyo? Umepata hasira halaf unaandika kama vile wewe ndio unaujua ukweli kuhusu mchizi.

Embu tuambir the truth maana inaonyesha mshkaji muongo ww mkweli.
Nyumba au apartment?

AY huyu mwanamke wa Kinyarwanda nadhani anamshinda nguvu!

Chezea Tutsi ni high maintenance women...

AY na jumba United States of America wapi na wapi?

Hajui uwongo wake unaweza kubumburuka fasta maana everything kipo online?

Kiki za kizamani sana hizi!

Eti mwanamziki TAJIRI,what a joke!
 
Hakuna hukumu yoyote ishatoka na hakuna mtu kalipwa chochote!

Na plus,kama madai ni 2.1Bilioni,then wagawane watu watatu halafu mmoja wao akanunue nyumba ya 1.5Bilion Los Angeles California?Mlisoma hesabu chooni?

You people what are you smoking?
Hiyo ya 1.5 billion imetoka wapi?
 
Garnishee order baada ya rufaa? Je walishinda rufaa? Na je tigo walikuwa hawataki kulipa mpaka wakaomba hiyo garnishee order?
Rufaa mbona ilikataliwa ikatupiliwa mbali na mahakama kuu hata habari humu nimeweka link ililetwa, na nimeweka link ya another source.
Watu walishachukua mpunga wao ila waliuchukua bila matarumbeta kila mtu akafanya yake ndo maana two weeks ago FA alihojiwa akawa anasema kuna biashara kubwa ataizindua hivi karibuni yote jeuri ya pesa hiyo.
 
Back
Top Bottom