omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,206
- 17,683
Nimpe hongera sijui. Any way.. sina hakika na habari hizi lakini nahisi kabisa anashahiri Pongezi.
Labda mziki wetu wa TZ unalipa sana hivyo kuwafnya ma Underground wengi kuutamani mziki kusudi na wao wajenge States na maeneo mengine Most beautiful and Popular.
Hongera AY