Msando anahonga ili kesi yake ishinde?Walipwe 1bn kwa nyimbo zipi hizo,case ya madai hayo mwisho wa siku watapewa hela bt sio hesabu hizo mahakama itaamua,istoshe msando kazoea kuhonga hiyo case nzito kwake
Then usiwe unapotea sana bhana... au Magu kakupa wilaya na wewe!!!Niko poa kabisa...full kupotea tunakutana kwa mazabe mazabe!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....mi nipo wewe uwe unanitag kwenye nyuzi zako bana!Then usiwe unapotea sana bhana... au Magu kakupa wilaya na wewe!!!
Hahaha!! Nyuzi zangu lazima zitakuboa tu... mimi na mzee mwenzangu Malcom Lumumba tumezoea kujadili Bombardier, Mchuchuma, Liganga n.k... ashukuriwe Demiss manake ndie huwa anatuburuzwa kwa minyororo hadi kwenye social lounge!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] ....mi nipo wewe uwe unanitag kwenye nyuzi zako bana!
Uwiiii....hizo usinialike, nitag kwenye umbea tu kama ule wa siku ilee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha!! Nyuzi zangu lazima zitakuboa tu... mimi na mzee mwenzangu Malcom Lumumba tumezoea kujadili Bombardier, Mchuchuma, Liganga n.k... thanks to Demiss ndie huwa anatuburuzwa kwa minyororo kutoka kule!!!
Tigo walikata rufaa kwahiyo mpunga bdo wanauota ndotoni,kesi ya madai mwisho wa siku wanaweza kupewa 200m hapohapo na mwanasheria ale
Hahaaa! Umeona sasa... anyway, basi poa, stay tuned!Uwiiii....hizo usinialike, nitag kwenye umbea tu kama ule wa siku ilee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walipwe 1bn kwa nyimbo zipi hizo,case ya madai hayo mwisho wa siku watapewa hela bt sio hesabu hizo mahakama itaamua,istoshe msando kazoea kuhonga hiyo case nzito kwake
R I PWanaume wa dar ni kina mzee small na king majuto tu. Nyie wengine dar mmeenda mkamkuta magu kashatangulia
[emoji120] [emoji120]Hahaaa! Umeona sasa... anyway, basi poa, stay tuned!
pIla ya kanisan inakua na kauzito flan,au labda wale ilikua dini gongana
Kwasababu swaiba wake ni Salah au?Kuna watu hii ingekua habari yao ya mwaka mzima.
Anyway, Mwana FA ana hela kuliko msanii yeyote Tz. Hata AY aliyeenda kukaa mbele
Hahahahaha black living in USA babyHahahaaa....mnatamani kweli niwe na madhila.
I have a great life.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hongera zake... wanaume wengi wa mikoani ndoto zao hua ni kuja kuishi dar(bongo)
KkkkkkkkkkkYaani kuvuka sirari tu hapa