AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....mi nipo wewe uwe unanitag kwenye nyuzi zako bana!
Hahaha!! Nyuzi zangu lazima zitakuboa tu... mimi na mzee mwenzangu Malcom Lumumba tumezoea kujadili Bombardier, Mchuchuma, Liganga n.k... ashukuriwe Demiss manake ndie huwa anatuburuzwa kwa minyororo hadi kwenye social lounge!!!
 
Tigo walikata rufaa kwahiyo mpunga bdo wanauota ndotoni,kesi ya madai mwisho wa siku wanaweza kupewa 200m hapohapo na mwanasheria ale

hela wameshapewa peleleza vizuri.. nenda kaombe kazi stanbic bank ukipata ajira chungulia account ya hamis mwijuma aka mwana fa ina kiasi gani .. utajua mpunga wameshavuta miezi kadhaa iliyopita..
 
Walipwe 1bn kwa nyimbo zipi hizo,case ya madai hayo mwisho wa siku watapewa hela bt sio hesabu hizo mahakama itaamua,istoshe msando kazoea kuhonga hiyo case nzito kwake

hela wameshapewa peleleza vizuri.. nenda kaombe kazi stanbic bank ukipata ajira chungulia account ya hamis mwijuma aka mwana fa ina kiasi gani .. utajua mpunga wameshavuta miezi kadhaa iliyopita..
 
Numbisa shogangu,ujue kanisa si jengo,kanisa ni watu waumini ndo maana mchungaji anauwezo wa kufungisha ndoa popote ili mradi kuwe kuna waumini,ila kibongobongo tumezoea mpaka twende na matarumbeta pale St Peter's ikitokea mmefungia garden au sehemu yeyote mnawekewa alama ya kuuliza.
witnessj umbea ukianza nitag shosti
Ila ya kanisan inakua na kauzito flan,au labda wale ilikua dini gongana
p
 
Kumbe tuko wengi tunaotamani kuishi nje na Tz, Kishimba yuko Zimbabwe huko Kahama akitumikia tu Ubunge
 
Back
Top Bottom