theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Ahsante sana kwa hii information....Niliwahi kukutana na Boss mmoja hivi ananiambia chimbuko lao ni Sudan na baadae wengine wakasambaa Afrika Magharibi, pamoja na huko Nigeria ila baadhi yao wakaja huku kwetu (E. Afrika).
Mimi ndoto yangu ilishatimia, nilitamani sana kuishi Mwanza; na sasa niko Mwanza.Kila mtu na ndoto yake kiukweli mimi napenda kuishi Migori-Kenya.
Mwanza Pazuri sana ukipata sehemu ambayo ni Tambarare.Mimi ndoto yangu ilishatimia, nilitamani sana kuishi Mwanza; na sasa niko Mwanza.
Ahsante sana kwa hii information....
Hawa jamaa na wanalindana, kupendana na kubebana sijawahi wana umoja ambao sijawahi ona....
Mkuu hapo US, ela ya kibongo ya bilion 1 siwez pata flat ya vyumba vitatu na sebule?
A nice dream but full of nightmaresMWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY’, ambaye wimbo wake wa Microphone aliomshirikisha Fareed Kubanda ‘FID Q’ ndiyo mpya kwa sasa, amefunguka siri ya kuamua kuishi Marekani.
Akichonga na Star Showbiz, dairekti kutoka kwenye ardhi hiyo ya Donald Trump, AY mwenye makazi katika Jiji la Calabasas, California alisema ilikuwa ni ndoto yake ya muda mrefu kwamba siku moja awe na makazi kwenye taifa hilo mbali na alipozaliwa Tanzania.
“Siri ya kuja kuishi Marekani ni kwamba hii ilikuwa ndoto yangu ya muda mrefu niwe na makazi huku. Kwa hiyo kwa kufanikisha kununua mjengo Marekani kwangu nimetimiza jambo moja muhimu sana maishani mwangu na ninamshukuru Mungu,” alimaliza AY.
Source: Muungwana blog
Daahhh, Ebhana eee, we ndo umeuwa kabisa mkuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee Ukipata Muda Sikiliza Migingo ya Atomi Sifa kuna dundo mle ambalo sio la kawaida.
Nimeishi sana huo ukanda Elimu yangu yote ya Msingi nimesoma huko.
Inaonekana na umo ukipigiwa hilo goma hata kama upo Paredi lazima utikise kichwa.Daahhh, Ebhana eee, we ndo umeuwa kabisa mkuu.
Ngoja nilifwate You tube mkuu[emoji23]Inaonekana na umo ukipigiwa hilo goma hata kama upo Paredi lazima utikise kichwa.
Yawaaa Migingo Dhi!Ngoja nilifwate You tube mkuu[emoji23]
Umenikumbusha mbali, viunga flani vya Jet Lumo, maeneo ya Lumo Bar na Monie, maana wajaluo sio kwa mizuka ile.Yawaaa Migingo Dhi!
Mkuu, umemaanisha jerusalem mbinguni au kule mashariki ya kati!?Ay ametimizi ndoto yake, hata mimi ndoto yangu ni siku moja niweze kuishi Jerusalemu katika Ufalme wa MUNGU ambapo YESU atakuwa MFALME wetu. Naamini nitafanikisha hii ndoto kwa rehema za BWANA MUNGU.
Umenikumbusha mbali, viunga flani vya Jet Lumo, maeneo ya Lumo Bar na Monie, maana wajaluo sio kwa mizuka ile.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] badae akamvaa mke. Tema[emoji23]Hahahahaha
Kuna mmoja kufika dar akaanza kuomba godoro na sufuria
Bongo huku kulitokeaga fumuko la bei za ngumba, yani hapa kinondoni tu, jumba kukuu, mtu anataka 500M.Inategemea na unapotaka, lakini sehemunyingi sana unapata.
Kwa hesabu za leo za interest rate ya Google dola mojani sh 2,286.30
1,000,000,000 / 2,286.30 = $ 437,388.
Mwaka 2007 nilinunua nyumba nzuri tu ya kupangisha watu New York City kwa bei iliyopita kidogo tu hiyo. Na mpaka leo zipo za bei kama hiyona hata pungufu, kutegemea na unapotaka kukaa.
Kwa sasa bei ya wastani ya nyumba Marekani ni $217,300, ni kama nusu ya hiyo hela.
Kwa hivyo, kwa nusu ya hiyo hela, unaweza kununua nyumba sehemu nyingi tu Marekani.
Kama unatafuta nyumba za new developments kwa mfano, sehemu zisizo katikatiya majiji makubwa,unaweza kupata townhouse yenye levels 3, basement, main floor yenye living rooms 2 na jiko, na upper floor yenye vyumba vitatu ikiwemo master bedroom, na vyumba viwili vyenye bafu na choo tofauti. Najua haya kwa sababu niliendakutembelea rafiki zangunje kidogo ya Philadelphiaupande wa New Jersey, kuna sehemu nzuri sana (good neighborhood, good school systems, clean environment, no Lukuvi etc) walikuwa wanauza townhouse yao kwa bei hiyo around $220,000.
Bongo huku kulitokeaga fumuko la bei za ngumba, yani hapa kinondoni tu, jumba kukuu, mtu anataka 500M.
Kumbe bora ununue US, afu utulie tu