Inategemea na unapotaka, lakini sehemunyingi sana unapata.
Kwa hesabu za leo za interest rate ya Google dola mojani sh 2,286.30
1,000,000,000 / 2,286.30 = $ 437,388.
Mwaka 2007 nilinunua nyumba nzuri tu ya kupangisha watu New York City kwa bei iliyopita kidogo tu hiyo. Na mpaka leo zipo za bei kama hiyona hata pungufu, kutegemea na unapotaka kukaa.
Kwa sasa bei ya wastani ya nyumba Marekani ni $217,300, ni kama nusu ya hiyo hela.
Kwa hivyo, kwa nusu ya hiyo hela, unaweza kununua nyumba sehemu nyingi tu Marekani.
Kama unatafuta nyumba za new developments kwa mfano, sehemu zisizo katikatiya majiji makubwa,unaweza kupata townhouse yenye levels 3, basement, main floor yenye living rooms 2 na jiko, na upper floor yenye vyumba vitatu ikiwemo master bedroom, na vyumba viwili vyenye bafu na choo tofauti. Najua haya kwa sababu niliendakutembelea rafiki zangunje kidogo ya Philadelphiaupande wa New Jersey, kuna sehemu nzuri sana (good neighborhood, good school systems, clean environment, no Lukuvi etc) walikuwa wanauza townhouse yao kwa bei hiyo around $220,000.