pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,524
- 4,928
Nchi kuongozwa na mtu mmoja kwa muda mrefu ndio madhara yake.Na hata akifa, kiongoz anayekuja atakua tu anti American na anti Israel. Mtazamo wa watu million 80 haubadiliki kwa kifo cha mtu mmoja, zaidi nchi itaingia tu kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe kama Syria.
Mpo naye hapo kwimba?Sio kweli jamaa anakula futari mda huu
Wala sio sababu, ni chuki tu za USA. Mbona Saudi Arabia ina udikteta zaidi na imetawaliwa na familia moja kwa miaka zaidi ya 70 sasa!! Ila haiwezi guswa hata wafanyeje sababu ni kibaraka wao. USA ni wanafiki sanaNchi kuongozwa na mtu mmoja kwa muda mrefu ndio madhara yake.
Kilichotokea Libya, Syria, Iraq, Lebanon(Hezbollah),Hamas
Sawa tusubiri USA wakimaliza kuigeuza Iran majivu uone kama kuna mabadiliko yoyote yatakuja!! Ndio kwanza chuki kwa marekani itazidi.Wote tunajua waganda hawamtaki Mu7 ila si unaonaga nyomi kwa mikutano yake?
Democratic republic ya kwanza iliishiaje mkuu?
WassapWatsap ndio kitu gani?
Mapinduzi.Democratic republic ya kwanza iliishiaje mkuu?
nani alipindua na kwanini?Mapinduzi.
Hatohutubia tena, wamecancel.Jioni niliona BBC wakisema Ayatollah atahutubia hivi punde
Mapinduzi ya Iran ya 1979 yalifanyika kwa sababu wananchi wengi wa Iran kwa kipindi hicho walikuwa wamechoshwa na utawala wa kifalme wa Shah Mohammad Reza Pahlavi, aliyekuwa akitawala kwa nguvu nyingi, ukandamizaji wa kisiasa, na kuonekana kuungana sana na nchi za Magharibi, hasa Marekani, ambayo ilionekana kuingilia masuala ya ndani ya Iran. Wananchi walichoshwa na Hali hiyo. Hasira kwa ukandamizaji, ukosefu wa haki za kisiasa, na hali ya kiuchumi iliyokuwa ngumu kwa kipindi hicho walikusanyika chini ya uongozi wa Ayatollah Ruhollah Khomeini ambaye alitaka serikali ya Kiislamu badala ya utawala wa kifalme. Finally, maandamano makubwa na shinikizo la umma yalimlazimisha Shah kutoroka nje ya nchi Januari 1979, na Khomeini na wafuasi wake walichukua madaraka, wakaunda Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.nani alipindua na kwanini?
mbona wanasema kuna mmoja alichomolewa kwa coup? wakawekwa hao puppets waliokuja kukumbwa na hiyo 1979 revo sasaMapinduzi ya Iran ya 1979 yalifanyika kwa sababu wananchi wengi wa Iran kwa kipindi hicho walikuwa wamechoshwa na utawala wa kifalme wa Shah Mohammad Reza Pahlavi, aliyekuwa akitawala kwa nguvu nyingi, ukandamizaji wa kisiasa, na kuonekana kuungana sana na nchi za Magharibi, hasa Marekani, ambayo ilionekana kuingilia masuala ya ndani ya Iran. Wananchi walichoshwa na Hali hiyo. Hasira kwa ukandamizaji, ukosefu wa haki za kisiasa, na hali ya kiuchumi iliyokuwa ngumu kwa kipindi hicho walikusanyika chini ya uongozi wa Ayatollah Ruhollah Khomeini ambaye alitaka serikali ya Kiislamu badala ya utawala wa kifalme. Finally, maandamano makubwa na shinikizo la umma yalimlazimisha Shah kutoroka nje ya nchi Januari 1979, na Khomeini na wafuasi wake walichukua madaraka, wakaunda Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.