Ayatollah Khamenei aahidi kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Leo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza

Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na lazima tutaiondoa."

Huyu mtawala kifo chake kitakuwa kibaya sana yaani hakumbuki ya Haniya.. anatishia viumbe havitishiwi
 
Hapo TU anakilema cha Israel mkono mmoja haupo sawa
 
Leo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza

Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na lazima tutaiondoa."
Unafikiri yeye kama kiongozi atawaeleza nini wananchi wake?
 
Huyu mtawala kifo chake kitakuwa kibaya sana yaani hakumbuki ya Haniya.. anatishia viumbe havitishiwi
Endelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.

Hadi hapo alipofikia unajua hao Israel wamejaribu mara ngapi wameshindwa? Huyo ndiye top kwenye wanted list yao kwa zaidi ya miaka 30 wanacheza tu mziki wake wamemshindwa.

Ayatollah ndiye kiboko ya Israel, watauliwa wote sio yeye.
 
Asighafilaluah!!!!!
 
Siyo mara ya kwanza kwa huyu mtawala kutoa vitisho vya aina hii
 
sawa na maskini kushindana na tajiri.
Ukienda kwa mganga kutaka kutoa uhai wa mtu maskini unaweza kushindwa ila tajiri anaweza.
 
Ayo mandege Vita ya Marekani yakowap mbona Tramp kawa mbwa koko linapokuja jambo kuusu Iran..
 
Endelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.

Hadi hapo alipofikia unajua hao Israel wamejaribu mara ngapi wameshindwa? Huyo ndiye top kwenye wanted list yao kwa zaidi ya miaka 30 wanacheza tu mziki wake wamemshindwa.

Ayatollah ndiye kiboko ya Israel, watauliwa wote sio yeye.
takibiiiiiri
 
Back
Top Bottom