Ayatollah Khamenei aahidi kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia!

Leo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza

Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na lazima tutaiondoa."
hivi huyu Ayatollah anaumwaga kansa mbona anaitaja taja kansa sana
 
Leo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza

Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na lazima tutaiondoa."
hivi Israel kwanini isimfyatue huyu Ayatollah mbona anabweka sana
 
r.i.p in advance, siku si nyingi ataenda kukutana na mabikra wake.
 
Leo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza

Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na lazima tutaiondoa."
Cha kusikitisha ni kwamba wanaoongea hayo wako salama kwenye makasri yenye ulinzi 24/7 huku wakiwaaminisha walala hoi kuwa watalindwa na miungu yao. Huu uhayawani wa binadamu ni zaidi ya shetani wanayemsingizia kila kukicha.
 
Ayatollah (Soon)

Soleiman ❌
Nasrah ❌
Yahya Sinwar❌
Ibrahim Rais❌
Mohammed Sinwar❌
Muhammed Deif❌
.
.
.
.
 
Ayatollah (Soon)

Soleiman ❌
Nasrah ❌
Yahya Sinwar❌
Ibrahim Rais❌
Mohammed Sinwar❌
Muhammed Deif❌
.
.
.
.
Ideology (Born na Kustawi ambayo italeta shida kesho kwa mustakabali wa Dunia)

Vita vya Ki Ideology havipiganwi kwa mabavu hata the Rise of Ayatollah ni baada ya Shah kuwa Kibaraka wa USA na Uingereza hadi kupelekea watu ku revolt, USA walipindua Serikali ya IRAN

The 1953 Iranian coup d'état, known in Iran as the 28 Mordad coup d'état (Persian: کودتای ۲۸ مرداد), was the overthrow of Prime Minister Mohammad Mosaddegh on 19 August 1953. Led by the Iranian army and supported by the United States and the United Kingdom, the coup aimed at strengthening the autocratic rule of the shah Mohammad Reza Pahlavi. A key motive was to protect British oil interests in Iran after its government refused to concede to western oil demands.[5][6] It was instigated by the United States (under the name TP-AJAX Project[7] or Operation Ajax) and the United Kingdom (under the name Operation Boot).[8][9][10][11] This began a period of dissolution for Iranian democracy and society.
 
Alitamka Sana hayo maeneo Mahmoud Ahmadinejad ,ila hakuna alilofanya mpaka anaondoka madarakani.
 
Endelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.

Hadi hapo alipofikia unajua hao Israel wamejaribu mara ngapi wameshindwa? Huyo ndiye top kwenye wanted list yao kwa zaidi ya miaka 30 wanacheza tu mziki wake wamemshindwa.

Ayatollah ndiye kiboko ya Israel, watauliwa wote sio yeye.
Sasa hivyo vitisho tangu miaka 89 mpaka leo vimemsqidiaje kufikia malengo
 
Hata wewe mkuu unaburuzwa na huyu mtu!?
Dhamira ya khamenei na serikali ya Iran, siku zote ni kuung'oa utawala wa Israel na sio kulifuta taifa la Israel. Bashar al Asaad na genge lake wameondoshwa madarakani lakini Syria bado ipo.
Dhamira ya Ayatollah Khamenei daima ni kuifuta Israel 🇮🇱 wala si kingine maana kwanza utawala wake hauitambui Israel!!
 
Anayedhamiria kukuua kweli huwa haropoki ovyo utaisikia tu paah!! kitu kimejipa na ukiona anaongea ongea ujue hana huo mpango ni vitisho
Endelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.

Hadi hapo alipofikia unajua hao Israel wamejaribu mara ngapi wameshindwa? Huyo ndiye top kwenye wanted list yao kwa zaidi ya miaka 30 wanacheza tu mziki wake wamemshindwa.

Ayatollah ndiye kiboko ya Israel, watauliwa wote sio yeye.
 
Endelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.

Hadi hapo alipofikia unajua hao Israel wamejaribu mara ngapi wameshindwa? Huyo ndiye top kwenye wanted list yao kwa zaidi ya miaka 30 wanacheza tu mziki wake wamemshindwa.

Ayatollah ndiye kiboko ya Israel, watauliwa wote sio yeye.
Nifah mmmh!

Kila la kheri
 
Kuna watu wanapenda ushabiki kama wa mpira Ayatollah sio mwepesi kama wachambuzi uchwara wa JF wanavyotaka kutuamisha hapa.
 
Endelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.

Hadi hapo alipofikia unajua hao Israel wamejaribu mara ngapi wameshindwa? Huyo ndiye top kwenye wanted list yao kwa zaidi ya miaka 30 wanacheza tu mziki wake wamemshindwa.

Ayatollah ndiye kiboko ya Israel, watauliwa wote sio yeye.
Wabongo aliyewalogoa kuhusi hilo taifa la kikolon linaitwa israel ameshaafariki hiko taifa bila western hamna kitu hapo .. na vita ya israel na iran israel kamwen hawezi shinda na usa atawashwa lazima aingilie na hapo ndo itakuwa mwisho wa usa mashariki ya kati na hizo trillion alizosain trump hapo zitakuwa zimeyeyuka kama barafu hapo ndo usa atajua kuwa israel ni zaidi ya mzigo vita vyovyo mashariki ya kati na iran usa kamwe hawezi kushinda ila wazuyuni kama wamemkaba koo trump apigane wao wapo baada ya israel yao hatakama usa akipoteza wao hawajali
 
Ngoja nivizie wifi kisha nitarudi rasmi kumsikia Ayatollah
 
Leo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza

Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na lazima tutaiondoa."
Miaka 77 anaahidi tu mpaka leo hajatimiza, toka mwaka 1948 anaahidi tu, amekuwa kama ahadi za CCM
 
Back
Top Bottom