Ayatollah Khamenei aahidi kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia!

Ayatollah Khamenei aahidi kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia!

Iran - uwajemi hao watu vita... USA na Israel wanajua madhara yake yatakayotokea..hawatajalibu kuingia vita na Iran. Watakachoweza ni kuendelea tu kuwauwa wanasayansi wa nuclear wa Iran. Kama wataingia vita na Irani nahisi tutaingia vita ya pili ya Dunia. Kitakachotokea USA kumpiga Irani itabidi atumiee anga za waarabu majirani wa Iran. Madhara yake ni makubwa sana..sizani kama waarabu wako tayari kununua ugomvi huo..ambao hauna faida kwao
 
Huyu dingi sikuweka avatar yake kwa bahati mbaya jamani muwe munajiaelewa, halafu akisema anaonekana mbaya kasema US ni wapumbavu na wajinga eti wanapinga urutubishaji wa nyuklia wa Iran halafu hawataki kumtolea kikwazo hapo nani hamnazo? Kati yake na nyinyi mnao bwabwaja humu?
 
Endelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.

Hadi hapo alipofikia unajua hao Israel wamejaribu mara ngapi wameshindwa? Huyo ndiye top kwenye wanted list yao kwa zaidi ya miaka 30 wanacheza tu mziki wake wamemshindwa.

Ayatollah ndiye kiboko ya Israel, watauliwa wote sio yeye.
Hawana shida nae wale mabinti walioingiza ndege na kufanya watakavyo wangetaka wangembutua
 
Back
Top Bottom