Huyu mtawala kifo chake kitakuwa kibaya sana yaani hakumbuki ya Haniya.. anatishia viumbe havitishiwiLeo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza
Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na lazima tutaiondoa."
Hapo TU anakilema cha Israel mkono mmoja haupo sawaLeo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza
Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na lazima tutaiondoa."
Unafikiri yeye kama kiongozi atawaeleza nini wananchi wake?Leo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza
Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na lazima tutaiondoa."
Endelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.Huyu mtawala kifo chake kitakuwa kibaya sana yaani hakumbuki ya Haniya.. anatishia viumbe havitishiwi
Asighafilaluah!!!!!Endelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.
Hadi hapo alipofikia unajua hao Israel wamejaribu mara ngapi wameshindwa? Huyo ndiye top kwenye wanted list yao kwa zaidi ya miaka 30 wanacheza tu mziki wake wamemshindwa.
Ayatollah ndiye kiboko ya Israel, watauliwa wote sio yeye.
takibiiiiiriEndelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.
Hadi hapo alipofikia unajua hao Israel wamejaribu mara ngapi wameshindwa? Huyo ndiye top kwenye wanted list yao kwa zaidi ya miaka 30 wanacheza tu mziki wake wamemshindwa.
Ayatollah ndiye kiboko ya Israel, watauliwa wote sio yeye.
hatar sanaArwakbaru
Itaondolewa mkuu,amini hiloAnaota ndoto za alinacha huyu kobazi mkuu
israel huwa haitishiwi, ataipata freshiItaondolewa mkuu,amini hilo