Ayatollah Khamenei aahidi kuifuta Israel kwenye uso wa Dunia!

Ifutweee
 
Ayatolah aka baba wa mipasho maneno meeng vitendo sifuri (0)

When you have to shoot, shoot. Don't talk."
 
Mara ya ngapi anasema haya?
 
Ayatollah ni mtu
Ayatollah ni mtu wangu wa nguvu sana.
 
Ayatollah ni mtu
Ayatollah ni mtu wangu wa nguvu sana.
 

Weeeeeeeh..... Nawe umedanganyika kirahisi. Uliza maisha anayoishi Khayatollah. Hapo alipo ana kilema mkono mmoja. Tulisema hivi hivi kwa Naswar sasa hivi ana enjoy 72 bikras tu jehanamu. Huyo Khayatollah anaongea maneno ya kishujaa akiishi kwa kujificha ficha sana.
 
Israel ni makao makuu ya ushoga duniani pamoja na vatcan....bora yafutiliwe mbalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…