Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,528
- 4,355
hivi huyu Ayatollah anaumwaga kansa mbona anaitaja taja kansa sanaLeo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza
Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na lazima tutaiondoa."
hivi Israel kwanini isimfyatue huyu Ayatollah mbona anabweka sanaLeo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza
Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na lazima tutaiondoa."
Tatizo lako shule pia hamna, haya hiyo Bible sidhani kama unaijua.Asighafilaluah!!!!!
Cha kusikitisha ni kwamba wanaoongea hayo wako salama kwenye makasri yenye ulinzi 24/7 huku wakiwaaminisha walala hoi kuwa watalindwa na miungu yao. Huu uhayawani wa binadamu ni zaidi ya shetani wanayemsingizia kila kukicha.Leo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza
Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na lazima tutaiondoa."
Ideology (Born na Kustawi ambayo italeta shida kesho kwa mustakabali wa Dunia)Ayatollah (Soon)
Soleiman ❌
Nasrah ❌
Yahya Sinwar❌
Ibrahim Rais❌
Mohammed Sinwar❌
Muhammed Deif❌
.
.
.
.
Sasa hivyo vitisho tangu miaka 89 mpaka leo vimemsqidiaje kufikia malengoEndelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.
Hadi hapo alipofikia unajua hao Israel wamejaribu mara ngapi wameshindwa? Huyo ndiye top kwenye wanted list yao kwa zaidi ya miaka 30 wanacheza tu mziki wake wamemshindwa.
Ayatollah ndiye kiboko ya Israel, watauliwa wote sio yeye.
Hata wewe mkuu unaburuzwa na huyu mtu!?Let him try.. Sumu haionjwi
Let him try.. Sumu haionjwi
Dhamira ya Ayatollah Khamenei daima ni kuifuta Israel 🇮🇱 wala si kingine maana kwanza utawala wake hauitambui Israel!!Hata wewe mkuu unaburuzwa na huyu mtu!?
Dhamira ya khamenei na serikali ya Iran, siku zote ni kuung'oa utawala wa Israel na sio kulifuta taifa la Israel. Bashar al Asaad na genge lake wameondoshwa madarakani lakini Syria bado ipo.
Endelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.
Hadi hapo alipofikia unajua hao Israel wamejaribu mara ngapi wameshindwa? Huyo ndiye top kwenye wanted list yao kwa zaidi ya miaka 30 wanacheza tu mziki wake wamemshindwa.
Ayatollah ndiye kiboko ya Israel, watauliwa wote sio yeye.
Hivi kweli Mungu Allah ni huyohuyo Mungu wa Israeli?Let him try.. Sumu haionjwi
Nifah mmmh!Endelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.
Hadi hapo alipofikia unajua hao Israel wamejaribu mara ngapi wameshindwa? Huyo ndiye top kwenye wanted list yao kwa zaidi ya miaka 30 wanacheza tu mziki wake wamemshindwa.
Ayatollah ndiye kiboko ya Israel, watauliwa wote sio yeye.
Kuna watu wanapenda ushabiki kama wa mpira Ayatollah sio mwepesi kama wachambuzi uchwara wa JF wanavyotaka kutuamisha hapa.Endelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.
Hadi hapo alipofikia unajua hao Israel wamejaribu mara ngapi wameshindwa? Huyo ndiye top kwenye wanted list yao kwa zaidi ya miaka 30 wanacheza tu mziki wake wamemshindwa.
Ayatollah ndiye kiboko ya Israel, watauliwa wote sio yeye.
Wabongo aliyewalogoa kuhusi hilo taifa la kikolon linaitwa israel ameshaafariki hiko taifa bila western hamna kitu hapo .. na vita ya israel na iran israel kamwen hawezi shinda na usa atawashwa lazima aingilie na hapo ndo itakuwa mwisho wa usa mashariki ya kati na hizo trillion alizosain trump hapo zitakuwa zimeyeyuka kama barafu hapo ndo usa atajua kuwa israel ni zaidi ya mzigo vita vyovyo mashariki ya kati na iran usa kamwe hawezi kushinda ila wazuyuni kama wamemkaba koo trump apigane wao wapo baada ya israel yao hatakama usa akipoteza wao hawajaliEndelea kuandika ngojera zako huku huyo achana naye.
Hadi hapo alipofikia unajua hao Israel wamejaribu mara ngapi wameshindwa? Huyo ndiye top kwenye wanted list yao kwa zaidi ya miaka 30 wanacheza tu mziki wake wamemshindwa.
Ayatollah ndiye kiboko ya Israel, watauliwa wote sio yeye.
View: https://x.com/MEmir1250829/status/1923794223926567374
Dunia ni unafiki, Ukute Ayatollah ni Spy wa Israe
Miaka 77 anaahidi tu mpaka leo hajatimiza, toka mwaka 1948 anaahidi tu, amekuwa kama ahadi za CCMLeo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza
Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na lazima tutaiondoa."