Ayatollah Khamenei atoa agizo zito kuwa Israel ipigwe moja Kwa moja

Israel huwa wanapigana kimkakati hapo kifuatacho ayatollah ajiandae
 
Si baba wa iman huyo πŸ₯±
Afadhali kupata hao mabikira 72,kuliko hao wanaokwenda kupakatwa na Ibrahim,kama Lazaro alivyokwenda kupakatwa.Kuna kidume kinaitwa Ibrahim,anakungoja,ukifika tu,anakupakata,kazi ipo,sio mchezo.
 
Ki[pigo na kichapo kwa israel kitaendelea kama kawaida, mdogo mdogo mpaka aiteme ardhi ya Wapalestina.

Ushauri wangu wadai uhuru waanze na mizizi mingine ya fitina, Egypt, Jordan, Saidi Arabia, UAE, Kuwait, Bahrain.

Bila hao hakuna nchi inayoitwa israel.
 
Taratibu Netanyau ataiingiza Marekani vitani na Iran.
 
Mimi ni muumini wa dini ya Kikristo. Ila kamwe siyaungi mkono mataifa ya uovu duniani yakiwemo ya Marekani, Israel, na vibaraka wao.
Ila unaunga mkono ugaidi wa Hamas, Hezbollah, Houth etc
 
Walidhani ni mchezo.Ukweli sasa umedhihiri.
Hata awe na silaha gani Israel amelikoroga na sasa atalinywa.Hakuna anayemuogopa na hana ubavu wa kupambana na maadui lukuki wanaomzunguka.
Wewe umezaliwa leo,unafahamu vita ya 1967 Israel alipigana na mataifa mangapi ya Kiarabu ikiwemo Egypt?
 
Hii sio habari mpya juzi juzi tu hapa SI alituma viroba vya makombora kwenda Israel viliishia wapi!!
 
Hapo kinachosubiliwa ni vitendo tu. Kauli za huyo mzee huwazinatekelezwa. Netanyau anakwenda kupata aibu nyingine
 
Nasikia kuna mganga toka ujiji Katimba ukanda wa ghaza na kuanza kupiga manyanga akimloga Netanyahu vibuyu vimlipukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…