Ayatollah Khamenei inasemekana kaondoka Iran, Viongozi kadhaa pia waondoka Iran

Ayatollah Khamenei inasemekana kaondoka Iran, Viongozi kadhaa pia waondoka Iran

Vita hii ni mbaya sana kwa watawala wa Iran. Kwanza ifahamike kuwa Wairani wengi hawaitaki kabisa hii serikali ya kikatili ya Ayatollah. Na ndiyo maana ni rahisi sana kwa Israel kupata taarifa zote za kiintelijensia kutoka kwa Wairan wenyewe.
 
Iran hali ni mbaya. Tuzidi kuiombea. Naumia sana kwa kile wanachofanya Mayahudi. Nahisi kuna watu Iran wanatusaliti.

Nachoka kabisa.
Binafsi nashangaa mnaposhangaa viongozi wa Iran na Israel kukimbia nchi zao.

Kwahiyo mnataka waendelee kurelax maeneo ya Ikulu ili wauwawe? Hamjui kiongozi mkuu wa nchi akifa kwenye vita tayari nchi inaweza kupoteza mwelekeo wa vita?

Israel analenga sehemu nyeti za Iran pamoja na makazi ya viongozi, inawezekana anawelenga hata kina Khomenei. Iran yeye anapiga maeneo nyeti na inawezekana bomu likadondokea hata Ikulu. Hivi kwa mfano ungekuwa ni wewe unaweza kuonekana hadharani kirahisi tu?
 
NYahuu anamuandalia makoo ya milelee
1000041934.jpg
 
Vita hii ni mbaya sana kwa watawala wa Iran. Kwanza ifahamike kuwa Wairani wengi hawaitaki kabisa hii serikali ya kikatili ya Ayatollah. Na ndiyo maana ni rahisi sana kwa Israel kupata taarifa zote za kiintelijensia kutoka kwa Wairan wenyewe.

Sisi wairan wa Tandale na Manzese tunautaka huu utawala
 
Back
Top Bottom