mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,756
- 6,294
Mhhhh, mara hii kishaenda kula tende za Dubai?Iran hali ni mbaya. Tuzidi kuiombea. Naumia sana kwa kile wanachofanya Mayahudi. Nahisi kuna watu Iran wanatusaliti.
Nachoka kabisa.
Mhhhh, mara hii kishaenda kula tende za Dubai?Iran hali ni mbaya. Tuzidi kuiombea. Naumia sana kwa kile wanachofanya Mayahudi. Nahisi kuna watu Iran wanatusaliti.
Nachoka kabisa.
Ayatollah zee linabadilishwa pampaz kutwa mara 12 kuna nini alichobaki nacho zaidi ya ndevu na mabushaKaenda kumtuliza Sarah sababu Netanyahu yuko chini ya shimo mpaa atoke, Sarah kamuomba amburudishe sababu kaona Missiles za Iran ni moto.
Iran imeshindwa kuwagundua na kuwanyonga hao wahaini?Israel ina ma spies 400 ndani ya iran
Iran hali ni mbaya. Tuzidi kuiombea. Naumia sana kwa kile wanachofanya Mayahudi. Nahisi kuna watu Iran wanatusaliti.
Nachoka kabisa.
Humu tuHahaha, Ayatollah (86) siku zake zinahesabika.
° Sidhani kama Israel ingelipua 400Kg za URANI iliyorutubishwa zaidi ya 60%
° Netanyahu kasema wanajua ilipo URANI yote.
° Wangeipiga hiyo URANI watu wasio na hatia wangekufa wengi na madhara ya muda mrefu.
° Ndio maama Netanyahu na IDF wamekuwa na ubinadamu sana kuwaua Scientists na Majenerali so precisely na kuacha kuipiga urani yenyewe.
° Kwa udhaifu huu wa Jeshi la Iran na IRGC yenyewe naamini Israel inaweza kwenda kuchukua hizo 400Kg kwa lori au Pickup kupitia Iraqi na Jordan au Syria
° Moja ya malengo ya pre entive offensive waliyofanya Israel ni pamoja na kuurudisha nyuma kwa miaka mingi huo mradi wa Nukes.
° Kuunda bomu la nyuklia baada ya kuwa na urani iliyorutubishwa, hatua hii nayo ni kipengele.
° Hata hivyo Marekani na uwezo wake mkubwa kijeshi umeigwaya/imeihusudu sana IDF kununua anga lote la Irani na kuwawezesha US kurusha B2 Spirit na mabomu ya juu zaidi duniani GBU 57, Massive Ordinance (bomu moja ni zaidi ya tani 13)
° Kwa udhaifu huu walioonyesha Irani kushindwa kuizuia Israel hata kidogo, mifumo ya Russia ya kujilinda (Arial Defense Systems) S300 na S400 itakosa soko sana duniani.
° Mifumo ya kujilinda ya Israel, Iron Dome (short range), David Sling (medium), na Arrow 3 (long) inapiganiwa kununuliwa sana kwa sasa na Israeli itapiga hela ndefu sana mbeleni.
° US tayari inafanya collaboration na Israel kutengeneza Golden Dome mfano wa Iron Dome na tayari Putin amelalamika sana.
° Huko tunakokwenda naamini Tehran itajafanya maamuzi magumu ya kuachana na mpango wake wa nyuklia maana walitumia/wekeza mabilioni ya $ kwa miaka mingi halafu yanaharibiwa kwa usiku mmoja
Propaganda nyingine za KITOTO Sana, hazina hata logic!!🤣🤣🤣 propaganda hizo
Hahahahah mkuu unanivunja mbavu sana na hicho kipeperushi unavyokipost JF nzima.Humu tu
Hawa ndugu zetu wana vimaneno vya ajabu ajabu sana najua wakikiona wanaumia na acha wateseke k na hii wiki ni mwendo wa bata aisee Iran imejua kunifurahisha huu mwakaHahahahah mkuu unanivunja mbavu sana na hicho kipeperushi unavyokipost JF nzima.
Hahahah kuna clip nmemuona trump anasema "Israel was hit very hard! those ballistic missiles......." nikashangaa mbona kama anafurahia hivi.Hawa ndugu zetu wana vimaneno vya ajabu ajabu sana najua wakikiona wanaumia na acha wateseke k na hii wiki ni mwendo wa bata aisee Iran imejua kunifurahisha huu mwaka
Neta pusi kachokwa muongo muongo sana na trump ukitandikwa anasema kweliHahahah kuna clip nmemuona trump anasema "Israel was hit very hard! those ballistic missiles......." nikashangaa mbona kama anafurahia hivi.
Unacho sahau ni kwamba nusu ya raia WA Israel wana asili ya Urusi, hivyo Putin hakutaka kujiingiza sana kwenye mgogoro huu, sikusikia ISRAEL ikisema imeharibu air defense systems type S-300 au 400 juzi hapa nilimsikia Putin akisema alitaka kuwapatia Wairan mfumo wa kulinda anga LA Iran lakini Iran ikakataa Masaada wa Urusi,mimi nafikiri Wairan walikataa msaada wa Urusi kutokana na kujua kwamba wanajeshi wengi wa Russia wana asili ya Kiyahudi hivyo ni rahisi kuvujisha air defense CODE za ADS za Iran kwa Waisrael wakazishambulia kirahisi.Hahaha, Ayatollah (86) siku zake zinahesabika.
° Sidhani kama Israel ingelipua 400Kg za URANI iliyorutubishwa zaidi ya 60%
° Netanyahu kasema wanajua ilipo URANI yote.
° Wangeipiga hiyo URANI watu wasio na hatia wangekufa wengi na madhara ya muda mrefu.
° Ndio maama Netanyahu na IDF wamekuwa na ubinadamu sana kuwaua Scientists na Majenerali so precisely na kuacha kuipiga urani yenyewe.
° Kwa udhaifu huu wa Jeshi la Iran na IRGC yenyewe naamini Israel inaweza kwenda kuchukua hizo 400Kg kwa lori au Pickup kupitia Iraqi na Jordan au Syria
° Moja ya malengo ya pre entive offensive waliyofanya Israel ni pamoja na kuurudisha nyuma kwa miaka mingi huo mradi wa Nukes.
° Kuunda bomu la nyuklia baada ya kuwa na urani iliyorutubishwa, hatua hii nayo ni kipengele.
° Hata hivyo Marekani na uwezo wake mkubwa kijeshi umeigwaya/imeihusudu sana IDF kununua anga lote la Irani na kuwawezesha US kurusha B2 Spirit na mabomu ya juu zaidi duniani GBU 57, Massive Ordinance (bomu moja ni zaidi ya tani 13)
° Kwa udhaifu huu walioonyesha Irani kushindwa kuizuia Israel hata kidogo, mifumo ya Russia ya kujilinda (Arial Defense Systems) S300 na S400 itakosa soko sana duniani.
° Mifumo ya kujilinda ya Israel, Iron Dome (short range), David Sling (medium), na Arrow 3 (long) inapiganiwa kununuliwa sana kwa sasa na Israeli itapiga hela ndefu sana mbeleni.
° US tayari inafanya collaboration na Israel kutengeneza Golden Dome mfano wa Iron Dome na tayari Putin amelalamika sana.
° Huko tunakokwenda naamini Tehran itajafanya maamuzi magumu ya kuachana na mpango wake wa nyuklia maana walitumia/wekeza mabilioni ya $ kwa miaka mingi halafu yanaharibiwa kwa usiku mmoja
Israel WAislamu ni wengi kuliko Wakristo, putin hawezi ua Waislamu.U
Unacho sahau ni kwamba nusu ya raia WA Israel wana asili ya Urusi, hivyo Putin hakutaka kujiingiza sana kwenye mgogoro huu, sikusikia ISRAEL ikisema imeharibu air defense systems type S-300 au 400 juzi hapa nilimsikia Putin akisema alitaka kuwapatia Wairan mfumo wa kulinda anga LA Iran lakini Iran ikakataa Masaada wa Urusi,mimi nafikiri Wairan walikataa msaada wa Urusi kutokana na kujua kwamba wanajeshi wengi wa Russia wana asili ya Kiyahudi hivyo ni rahisi kuvujisha air defense CODE za ADS za Iran kwa Waisrael wakazishambulia kirahisi.
Soma vizuri nilicho andika, mimi nazungumzia wanajeshi na wataalamu wa kijeshi siyo wakristo au waislaam!!Israel WAislamu ni wengi kuliko Wakristo, putin hawezi ua Waislamu.
Wayahudi ni wengi kuliko Wakristo.
Israel wanajua hilo, ni vigumu sana kuingilia nchi ambayo wananchi wake wana support nchi yaoVita hii ni mbaya sana kwa watawala wa Iran. Kwanza ifahamike kuwa Wairani wengi hawaitaki kabisa hii serikali ya kikatili ya Ayatollah. Na ndiyo maana ni rahisi sana kwa Israel kupata taarifa zote za kiintelijensia kutoka kwa Wairan wenyewe.
Jana wameandamana wakisherehekea ushindi hivyo haya maneno yako ya kiporojo porojo haya nafasi tenaVita hii ni mbaya sana kwa watawala wa Iran. Kwanza ifahamike kuwa Wairani wengi hawaitaki kabisa hii serikali ya kikatili ya Ayatollah. Na ndiyo maana ni rahisi sana kwa Israel kupata taarifa zote za kiintelijensia kutoka kwa Wairan wenyewe.