Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Huo ubavu anao sasa?Muhimu nae Ayotollah aratibu mpango vizuri afanye mpango aipindue Marekani,Israel na taifa jirani na Syria. Asaidiane na dictetor Putin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ubavu anao sasa?Muhimu nae Ayotollah aratibu mpango vizuri afanye mpango aipindue Marekani,Israel na taifa jirani na Syria. Asaidiane na dictetor Putin
Sasa wenyewe si walikua pale kumtetea ilikuwaje wakasepa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amedai kwamba Tehran inayo ushahidi unaoonyesha kuwa Marekani na Israel walipanga njama ya kuuangusha utawala wa Rais Bashar al-Assad wa Syria
Kauli hii ya Khamenei inakuja siku chache baada ya Rais Bashar al-Assad wa Syria kukimbilia Moscow kufuatia Damascus kukamatwa na vikosi vya upinzani vinavyoongozwa na Hayat Tahrir al-Sham (HTS) na kiongozi wake Abu Mohammad al-Jawlani.
"Hakuna shaka kwamba kilichotokea Syria ni matokeo ya mpango wa pamoja wa Wamarekani na Wazayuni," alisema Khamenei
Khamenei alidai kuwa ingawa nchi jirani ya Uturuki imekuwa na mchango dhahiri katika hali ya Syria, jukumu kuu liko kwa mataifa ya Magharibi.
"Ndiyo, nchi jirani ya Syria imehusika sana katika jambo hili lakini mchochezi mkuu na chumba cha amri kuu viko Marekani na utawala wa Kizayuni," alisema.
==================
Iran's Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei claimed Tehran possesses evidence that the United States and Israel orchestrated the collapse of Syria's Assad regime, according to Iranian state news agency IRNA.
An opposition fighter steps on a broken bust of the late Syrian President Hafez Assad in Damascus, Syria, Sunday Dec. 8, 2024 (AP /Hussein Malla))
The comments come just days after Syrian President Bashar al-Assad fled to Moscow following the rapid capture of Damascus by opposition forces led by Hayat Tahrir al-Sham (HTS) and its leader Abu Mohammad al-Jawlani, marking a dramatic end to the Assad family's decades-long rule over Syria.
"There should be no doubt that what happened in Syria is the result of a joint American and Zionist plan," Khamenei said, according to IRNA, in his first public comments since the fall of his longtime regional ally.
In his remarks reported by IRNA, Khamenei alleged that while a neighboring country – presumably Turkey – has played an evident role in Syria's situation, the primary responsibility lies with Western powers. "Yes, the neighboring country of Syria has played a clear role in this matter and continues to do so – this is evident to all – but the primary conspirator, the main planner, and the central command room are in the United States and the Zionist regime," he said.
The Supreme Leader further claimed to have definitive proof of these allegations, stating: "We have evidence. This evidence leaves no room for doubt." The statement marks Iran's first official response to the fall of Assad's government, which Tehran had supported militarily and financially throughout Syria's civil war.
Source: Reuters
Ilikuweje wakashindwa?Sasa wenyewe si walikua pale kumtetea ilikuwaje wakasepa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Maji yanapozidi unga.Sasa wenyewe si walikua pale kumtetea ilikuwaje wakasepa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shehe uko msikiti gani hapo nije? Njoo kwa shehe tumbo hapaWazayuni wajinga sana walikubaliana ceasefire na Hezb wakajifanya wajanja wakabaki Lebanon kusini wanarandaranda na kushambulia hovyo hovyo huku mwenzake kafuata masharti, sasa hezb kanwambia hamtujui kategesha mabomu baadhi ya tannel mfu na majengo wameingia tuu boom 18 pembeni wapuuzi kabisa, leo naona wameshika virago wenyewe ndio dawa hiii
Uje kufanya nini wewe mzayuni naijui michezo yenuShehe uko msikiti gani hapo nije? Njoo kwa shehe tumbo hapa
Wale wanalewaga alkasusu alafu wanakuja kuropoka jukwaaniKuna wale warusi wa mbagala walisema bendera mpya ya syria imepandishwa kwenye baloz moscow wakasema urusi ndo anahusika. Na waasi wanaenda jerusalem.
Unaogopa kupugwa bomu ta tako kama allah anavyopigwa kule syria?Uje kufanya nini wewe mzayuni naijui michezo yenu
Achana na dini yangu unasapoti mauaji eti eeehUnaogopa kupugwa bomu ta tako kama allah anavyopigwa kule syria?
Mauaji gani shehe wangu? Au ya magaidi wa Hammas?Achana na dini yangu unasapoti mauaji eti eeeh
Mkuu niliona clip moja watu walikuwa wamefungwa vitambaa usoni wanaambiwa watembee bila kuona wanakoelekea, kumbe mbele walikuwa wamechimba shimo kubwa kama choo, pana. Hivyo kwa sababu hawaoni, wanatumbukia ndani kwa kishindo halafu kuna watu wako kando wanawamalizia kwa risasi. Wakishaua wote wanafukia. Huyu Assad alikuwa katili sana. Hongera kwa Marekani na washirika wake kwa kumlia timing na kumfurumisha.Wasyria wameshukuru Sana. Maana watu waliteswa Sana. Wamefanya Jambo jema.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 Ayatollah nae ataingia kwenye 18Muhimu nae Ayotollah aratibu mpango vizuri afanye mpango aipindue Marekani,Israel na taifa jirani na Syria. Asaidiane na dictetor Putin
Waupeleke Polisi huo ushahidi waoWadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amedai kwamba Tehran inayo ushahidi unaoonyesha kuwa Marekani na Israel walipanga njama ya kuuangusha utawala wa Rais Bashar al-Assad wa Syria
Kauli hii ya Khamenei inakuja siku chache baada ya Rais Bashar al-Assad wa Syria kukimbilia Moscow kufuatia Damascus kukamatwa na vikosi vya upinzani vinavyoongozwa na Hayat Tahrir al-Sham (HTS) na kiongozi wake Abu Mohammad al-Jawlani.
"Hakuna shaka kwamba kilichotokea Syria ni matokeo ya mpango wa pamoja wa Wamarekani na Wazayuni," alisema Khamenei
Khamenei alidai kuwa ingawa nchi jirani ya Uturuki imekuwa na mchango dhahiri katika hali ya Syria, jukumu kuu liko kwa mataifa ya Magharibi.
"Ndiyo, nchi jirani ya Syria imehusika sana katika jambo hili lakini mchochezi mkuu na chumba cha amri kuu viko Marekani na utawala wa Kizayuni," alisema.
==================
Iran's Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei claimed Tehran possesses evidence that the United States and Israel orchestrated the collapse of Syria's Assad regime, according to Iranian state news agency IRNA.
An opposition fighter steps on a broken bust of the late Syrian President Hafez Assad in Damascus, Syria, Sunday Dec. 8, 2024 (AP /Hussein Malla))
The comments come just days after Syrian President Bashar al-Assad fled to Moscow following the rapid capture of Damascus by opposition forces led by Hayat Tahrir al-Sham (HTS) and its leader Abu Mohammad al-Jawlani, marking a dramatic end to the Assad family's decades-long rule over Syria.
"There should be no doubt that what happened in Syria is the result of a joint American and Zionist plan," Khamenei said, according to IRNA, in his first public comments since the fall of his longtime regional ally.
In his remarks reported by IRNA, Khamenei alleged that while a neighboring country – presumably Turkey – has played an evident role in Syria's situation, the primary responsibility lies with Western powers. "Yes, the neighboring country of Syria has played a clear role in this matter and continues to do so – this is evident to all – but the primary conspirator, the main planner, and the central command room are in the United States and the Zionist regime," he said.
The Supreme Leader further claimed to have definitive proof of these allegations, stating: "We have evidence. This evidence leaves no room for doubt." The statement marks Iran's first official response to the fall of Assad's government, which Tehran had supported militarily and financially throughout Syria's civil war.
Source: Reuters
Hahhaha waasi gani wanaenda Al Quds?Kuna wale warusi wa mbagala walisema bendera mpya ya syria imepandishwa kwenye baloz moscow wakasema urusi ndo anahusika. Na waasi wanaenda jerusalem.