Ayatollah Khamenei: Tuna ushahidi kuwa Marekani, Israel na Uturuki walihusika katika kumuondoa Assad madarakani

Ayatollah Khamenei: Tuna ushahidi kuwa Marekani, Israel na Uturuki walihusika katika kumuondoa Assad madarakani

Ayatollah katokewa na Malaika Jibril kumpasha Habari za Syria
 
Wasyria wameshukuru Sana. Maana watu waliteswa Sana. Wamefanya Jambo jema.
Wewe ni Msyria?? Shida yenu hamsomi hamjui mambo mengi sana katika Dunia hii someni mjue haya masuala.
 
Kwa hiyo akifika tu anajilaza kando ya kijito cha pombe na msuli wake huku anasubiri huba kutoka "seventetu" virgins?Noma kinomanoma!
Hivi akienda huko anakuwa vile vile na madevu na uzee au Allah anamgeuza anakuwa mpya namba E? Ila wale wadada wana kazi sana sasa sijui wapo na WA huku Geita!!!! Au wote wadada niwa middle East?
 
Hivi akienda huko anakuwa vile vile na madevu na uzee au Allah anamgeuza anakuwa mpya namba E? Ila wale wadada wana kazi sana sasa sijui wapo na WA huku Geita!!!! Au wote wadada niwa middle East?
Wenyewe wana macho yenye presha.Wa Geita hawaamini hilo.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amedai kwamba Tehran inayo ushahidi unaoonyesha kuwa Marekani na Israel walipanga njama ya kuuangusha utawala wa Rais Bashar al-Assad wa Syria

Kauli hii ya Khamenei inakuja siku chache baada ya Rais Bashar al-Assad wa Syria kukimbilia Moscow kufuatia Damascus kukamatwa na vikosi vya upinzani vinavyoongozwa na Hayat Tahrir al-Sham (HTS) na kiongozi wake Abu Mohammad al-Jawlani.

"Hakuna shaka kwamba kilichotokea Syria ni matokeo ya mpango wa pamoja wa Wamarekani na Wazayuni," alisema Khamenei

Khamenei alidai kuwa ingawa nchi jirani ya Uturuki imekuwa na mchango dhahiri katika hali ya Syria, jukumu kuu liko kwa mataifa ya Magharibi.

"Ndiyo, nchi jirani ya Syria imehusika sana katika jambo hili lakini mchochezi mkuu na chumba cha amri kuu viko Marekani na utawala wa Kizayuni," alisema.

==================

Iran's Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei claimed Tehran possesses evidence that the United States and Israel orchestrated the collapse of Syria's Assad regime, according to Iranian state news agency IRNA.

An opposition fighter steps on a broken bust of the late Syrian President Hafez Assad in Damascus, Syria, Sunday Dec. 8, 2024 (AP /Hussein Malla))

The comments come just days after Syrian President Bashar al-Assad fled to Moscow following the rapid capture of Damascus by opposition forces led by Hayat Tahrir al-Sham (HTS) and its leader Abu Mohammad al-Jawlani, marking a dramatic end to the Assad family's decades-long rule over Syria.

"There should be no doubt that what happened in Syria is the result of a joint American and Zionist plan," Khamenei said, according to IRNA, in his first public comments since the fall of his longtime regional ally.

In his remarks reported by IRNA, Khamenei alleged that while a neighboring country – presumably Turkey – has played an evident role in Syria's situation, the primary responsibility lies with Western powers. "Yes, the neighboring country of Syria has played a clear role in this matter and continues to do so – this is evident to all – but the primary conspirator, the main planner, and the central command room are in the United States and the Zionist regime," he said.

The Supreme Leader further claimed to have definitive proof of these allegations, stating: "We have evidence. This evidence leaves no room for doubt." The statement marks Iran's first official response to the fall of Assad's government, which Tehran had supported militarily and financially throughout Syria's civil war.

Source: Reuters
Nae ajiandae!
 
Back
Top Bottom