min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wayahudi wanakula kondoo sasa nyie wa buza na nyie mnagida kitimoto kama sisi wamatumbi kumbe?Unamaanisha aiwekee nakshinakshi?
Wayahudi wanakula kondoo sasa nyie wa buza na nyie mnagida kitimoto kama sisi wamatumbi kumbe?Unamaanisha aiwekee nakshinakshi?
Mwanaume yoyote akifuga ndefu akatoa hata kauli ya kawaida tu hiyo ni kauli kali na ya mamlakaKAULI KALI Iko wapi sasa
Israel alikua my wetu kabisaKhamenei Yuko sahii kabisa,
Ndani ya siku 12 za mapigano,
Israel (hasa tel aviv) imekua nusu GAZA
Kiuhalisia,
Israel na USA walimu under estimate sana Iran, hasa siku ya vita ya kwanza na ya pili alivorusha mabomu almost 500+ Kisha next day (siku ya 3) akarusha mabomu 13 tu.
siku ya 4 akarusha 6 , Na siku ya 5 ya vita akapigwa mabomu na hakujibu. Hapo Wakajua iran keshaishiwa. (Ndipo usa nae akaanza mipango ya kwenda kuharibu nuclear facilities kabisa ili kumzika Iran)
Kilichofuatia,
kuanzia siku ya 7 Hadi ya 11 ilikuia ni HELL in ISRAEL, walikua wanapigwa usiku na mchana NON-STOP, airdefence zilielemewa Sana Hadi zikachanganyikiwa.
(Kuna footage Moja inaonyesha kombola la airdefence ya THAAD ikirusha kombola na kwenda kulitungua kombola jenzie lililotumwa na iron dome kwenda kuintercept kombola la iran)
Kiuhalisia Hadi airdefence nazo zikabondwa sana, Japo serikali ilizuia raia kukiimbia nchi, ila wayahudi kibao aliwashinda, walitoka mafichoni na kukimbilia mpakani ili wavushwe kwenda misri (walishaona Hii vita haiishi Leo wala kesho).
Vilio vilikua vingi mitandaoni Hadi bunge la Israel likapitisha muswada wa kuwapiga marufuku raia kumrekodi damage za makombora ya Irani, ikisemekana wanapandikiza hofu na kuboost morale ya adui Yao Iran.
Foreign media zote zilizuiwa kumrekodi kinachotokea ndani y Israel, na baadhi WA waandishi wa BBC naa CCM walikamatwa kwa kukiuka ile Sheria.
Kiuhalisia,
Hata ile cease fire ilkua kama amri TU from Trump (kiranja wa dunia) kwa wote ili wasitishe mapigano,
Maana Israel bila USA ni sawa na HAMAS TU.
Na iran msuli wa kubattle na USA Hana.
Vinu vitatu vya nyuklia vya Iran vimepigwa na mabomu ya Malawi au siyo.Babu kapiga kambi 3 za US mala mbili bila US kujibu
Ndio maana kila siku tunawasisitizia mambo yenu ni jikoni🤔Sasa kwanini alishindwa kupiga Washington kama ana nguvu.
Unampiga mtu ngumi ya uso badala ya kukurudishia ya uso anatafuta mbwa wako anampiga.
Israel alikua my wetu kabisa
Wale jamaa walikua wanarusha makombola hayaeleweki ni aina gani, yaani yanagawanya ghorofa la floor 12 katikati,Wayahudi wamshukuru sana marekani na washirika wake vinginevyo tusingekua na taifa la kiyahudi
Chunguza vzur wale majenerali WA iran walikua Wanakufa kufaje,Kinachomzuia huyo Ayatollah Khomeini kuipoteza Israel hivi sasa ni nini?
Yaani anapigwa kiboya mpk anapoteza majenerali wote halafu anabwata bwata tu? Si aipige na kuifuta hiyo Israel?
Wangeachiwa mwezi mmoja tu peke yao
Kwa kweli wangekuta majivu tu
Israel alijua atamtandika Iran kama Gaza
Hii ni zawadi kubwa kwa Gaza na wapenda amani wote
Mkimuona Neta mseme tu Khamenei muone atakavyokimbia
Kwenye vita lazima uwe jasiri hata kama dhaifu!🇮🇷🔥 KAULI KALI YA KIONGOZI WA IRAN! 🔥🇮🇷
Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa kauli nzito akidai kuwa Marekani iliingilia kwa haraka operesheni ya kijeshi ya Iran kwa sababu waliogopa Israel kuangamizwa kabisa.
🗣️ “Marekani iliingilia kwa sababu waliona mradi wao wa Kizayuni ukiporomoka mbele ya macho yao. Walijua wazi kuwa bila msaada wao wa haraka, utawala bandia wa Israeli ungefutwa kwenye uso wa dunia,” alisema Khamenei.
Kiongozi huyo ameendelea kusisitiza kuwa nguvu za kijeshi na ushawishi wa Iran katika ukanda huo ni wa kiwango cha juu, na kwamba Marekani inatambua ukubwa wa nguvu hizo.
📌 Kauli hii imezua mjadala mkubwa duniani, huku wengine wakiona kama onyo kali kwa Marekani na washirika wake, hasa ikizingatiwa mvutano unaoendelea Mashariki ya Kati.
👀 Je, una maoni gani kuhusu kauli hii ya Iran dhidi ya Marekani na Israel?
Ni Kiongozi kichaa pekee TU Mwenye ujasiri WA kupiga kombora Washington na asijue madhara ya kufanya hivyo Kwa raia wake.Sasa kwanini alishindwa kupiga Washington kama ana nguvu.
Unampiga mtu ngumi ya uso badala ya kukurudishia ya uso anatafuta mbwa wako anampiga.
Ujasiri wa iran ndio umewaogopesha sana Israel na USA,Kwenye vita lazima uwe jasiri hata kama dhaifu!
Huyu mzee anatatizo la afya ya akili kama ni mwamba kweli angeongea hayo wakati ule ndege zikizulura zulura kwenye kiota na kilemba chake ndio tungeamini anamaanishaKiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa kauli nzito akidai kuwa Marekani iliingilia kwa haraka operesheni ya kijeshi ya Iran kwa sababu waliogopa Israel kuangamizwa kabisa.
“Marekani iliingilia kwa sababu waliona mradi wao wa Kizayuni ukiporomoka mbele ya macho yao. Walijua wazi kuwa bila msaada wao wa haraka, utawala bandia wa Israeli ungefutwa kwenye uso wa dunia,” alisema Khamenei.
Kiongozi huyo ameendelea kusisitiza kuwa nguvu za kijeshi na ushawishi wa Iran katika ukanda huo ni wa kiwango cha juu, na kwamba Marekani inatambua ukubwa wa nguvu hizo.
Kauli hii imezua mjadala mkubwa duniani, huku wengine wakiona kama onyo kali kwa Marekani na washirika wake, hasa ikizingatiwa mvutano unaoendelea Mashariki ya Kati.
Je, una maoni gani kuhusu kauli hii ya Iran dhidi ya Marekani na Israel?