Khamenei Yuko sahii kabisa,
Ndani ya siku 12 za mapigano,
Israel (hasa tel aviv) imekua nusu GAZA
Kiuhalisia,
Israel na USA walimu under estimate sana Iran, hasa siku ya vita ya kwanza na ya pili alivorusha mabomu almost 500+ Kisha next day (siku ya 3) akarusha mabomu 13 tu.
siku ya 4 akarusha 6 , Na siku ya 5 ya vita akapigwa mabomu na hakujibu. Hapo Wakajua iran keshaishiwa. (Ndipo usa nae akaanza mipango ya kwenda kuharibu nuclear facilities kabisa ili kumzika Iran)
Kilichofuatia,
kuanzia siku ya 7 Hadi ya 11 ilikuia ni HELL in ISRAEL, walikua wanapigwa usiku na mchana NON-STOP, airdefence zilielemewa Sana Hadi zikachanganyikiwa.
(Kuna footage Moja inaonyesha kombola la airdefence ya THAAD ikirusha kombola na kwenda kulitungua kombola jenzie lililotumwa na iron dome kwenda kuintercept kombola la iran)
Kiuhalisia Hadi airdefence nazo zikabondwa sana, Japo serikali ilizuia raia kukiimbia nchi, ila wayahudi kibao aliwashinda, walitoka mafichoni na kukimbilia mpakani ili wavushwe kwenda misri (walishaona Hii vita haiishi Leo wala kesho).
Vilio vilikua vingi mitandaoni Hadi bunge la Israel likapitisha muswada wa kuwapiga marufuku raia kumrekodi damage za makombora ya Irani, ikisemekana wanapandikiza hofu na kuboost morale ya adui Yao Iran.
Foreign media zote zilizuiwa kumrekodi kinachotokea ndani y Israel, na baadhi WA waandishi wa BBC naa CCM walikamatwa kwa kukiuka ile Sheria.
Kiuhalisia,
Hata ile cease fire ilkua kama amri TU from Trump (kiranja wa dunia) kwa wote ili wasitishe mapigano,
Maana Israel bila USA ni sawa na HAMAS TU.
Na iran msuli wa kubattle na USA Hana.