Ayatollah: Marekani iliingilia kwa haraka kwenye vita ya Iran na Israel

Khamenei Yuko sahii kabisa,
Ndani ya siku 12 za mapigano,
Israel (hasa tel aviv) imekua nusu GAZA

Kiuhalisia,
Israel na USA walimu under estimate sana Iran, hasa siku ya vita ya kwanza na ya pili alivorusha mabomu almost 500+ Kisha next day (siku ya 3) akarusha mabomu 13 tu.

siku ya 4 akarusha 6 , Na siku ya 5 ya vita akapigwa mabomu na hakujibu. Hapo Wakajua iran keshaishiwa. (Ndipo usa nae akaanza mipango ya kwenda kuharibu nuclear facilities kabisa ili kumzika Iran)

Kilichofuatia,
kuanzia siku ya 7 Hadi ya 11 ilikuia ni HELL in ISRAEL, walikua wanapigwa usiku na mchana NON-STOP, airdefence zilielemewa Sana Hadi zikachanganyikiwa.

(Kuna footage Moja inaonyesha kombola la airdefence ya THAAD ikirusha kombola na kwenda kulitungua kombola jenzie lililotumwa na iron dome kwenda kuintercept kombola la iran)

Kiuhalisia Hadi airdefence nazo zikabondwa sana, Japo serikali ilizuia raia kukiimbia nchi, ila wayahudi kibao aliwashinda, walitoka mafichoni na kukimbilia mpakani ili wavushwe kwenda misri (walishaona Hii vita haiishi Leo wala kesho).

Vilio vilikua vingi mitandaoni Hadi bunge la Israel likapitisha muswada wa kuwapiga marufuku raia kumrekodi damage za makombora ya Irani, ikisemekana wanapandikiza hofu na kuboost morale ya adui Yao Iran.

Foreign media zote zilizuiwa kumrekodi kinachotokea ndani y Israel, na baadhi WA waandishi wa BBC naa CCM walikamatwa kwa kukiuka ile Sheria.

Kiuhalisia,
Hata ile cease fire ilkua kama amri TU from Trump (kiranja wa dunia) kwa wote ili wasitishe mapigano,

Maana Israel bila USA ni sawa na HAMAS TU.

Na iran msuli wa kubattle na USA Hana.
 
Israel alikua my wetu kabisa
 
Sasa kwanini alishindwa kupiga Washington kama ana nguvu.
Unampiga mtu ngumi ya uso badala ya kukurudishia ya uso anatafuta mbwa wako anampiga.
 
Kitendo cha israel kuwapiga proxies WA Iran (hesbollah, HAMAS, n.k) mfulurizo, afu Iran (mfadhili wao) asiende kuwasaidia, kiliwaamisha Israel kua Iran ni mnyonge sn na WAnammudu.

Hata Ile siku ya kwanza Israel anaishambilia Iran, netanyau akiwa USA, alijiapiza kua ndo anaenda kupiga kichwa Cha nyoka na kummaliza Iran (sponsor WA magaidi middle east) ili middle east patulie.

Ndo maana alimuomba USA amsaidie kupiga fardow nuclear facilities maana viongozi toplevel keshaua tayar.

Wakimaliza kupiga zile nuclear facilities, Iran watasurrrender na kitakacchofuata ni regime change.

Israel alikua my wetu kabisa
 
Kinachomzuia huyo Ayatollah Khomeini kuipoteza Israel hivi sasa ni nini?

Yaani anapigwa kiboya mpk anapoteza majenerali wote halafu anabwata bwata tu? Si aipige na kuifuta hiyo Israel?
 
Wayahudi wamshukuru sana marekani na washirika wake vinginevyo tusingekua na taifa la kiyahudi
Wale jamaa walikua wanarusha makombola hayaeleweki ni aina gani, yaani yanagawanya ghorofa la floor 12 katikati,

Kipande kimoja huku, kingine kule
 
Wangeachiwa mwezi mmoja tu peke yao
Kwa kweli wangekuta majivu tu

Israel alijua atamtandika Iran kama Gaza
Hii ni zawadi kubwa kwa Gaza na wapenda amani wote

Mkimuona Neta mseme tu Khamenei muone atakavyokimbia
 
Kinachomzuia huyo Ayatollah Khomeini kuipoteza Israel hivi sasa ni nini?

Yaani anapigwa kiboya mpk anapoteza majenerali wote halafu anabwata bwata tu? Si aipige na kuifuta hiyo Israel?
Chunguza vzur wale majenerali WA iran walikua Wanakufa kufaje,

Wengi wao walikua hawafi vitani, Bali wanauwawa Kwa mashambulizi ya kigaidi na kuviziwa TU mitaani na hit squad

Kiuhalisia,
Huwezi shinda vita Kwa kuwavizia na kuwaua viongozi Kwa hit squad, ule Ni ugaidi Kwa Sheria za kimataifa.

Hata Putin na Zelensky wanajuana Hadi wanapolala, Ila hawawezi kushambuliana kigaidi namna Ile.

Na wakithubutu, Basi ule ni ugaidi
(Kumbuka tukio la drone pale ikulu ya klemlin lilivomletea shida Zelensky mwanzoni mwa vita )
 
Netanyau mabomu yalivoanza kutua tel aviv, akimbilia zake Estonia kwenda kujificha
Wangeachiwa mwezi mmoja tu peke yao
Kwa kweli wangekuta majivu tu

Israel alijua atamtandika Iran kama Gaza
Hii ni zawadi kubwa kwa Gaza na wapenda amani wote

Mkimuona Neta mseme tu Khamenei muone atakavyokimbia
 
Kwenye vita lazima uwe jasiri hata kama dhaifu!
 
Sasa kwanini alishindwa kupiga Washington kama ana nguvu.
Unampiga mtu ngumi ya uso badala ya kukurudishia ya uso anatafuta mbwa wako anampiga.
Ni Kiongozi kichaa pekee TU Mwenye ujasiri WA kupiga kombora Washington na asijue madhara ya kufanya hivyo Kwa raia wake.
 
Kwenye vita lazima uwe jasiri hata kama dhaifu!
Ujasiri wa iran ndio umewaogopesha sana Israel na USA,

Hatua aliyokua amefikia Iran, walishaona kabisa, huyu jamaa akilii zake haziko sawa.

"Huyu jamaa keshaamua liwalo na liwe, iinavoonekana Hana Cha kupoteza"
 
Huyu mzee anatatizo la afya ya akili kama ni mwamba kweli angeongea hayo wakati ule ndege zikizulura zulura kwenye kiota na kilemba chake ndio tungeamini anamaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…