Ayatollah: Marekani iliingilia kwa haraka kwenye vita ya Iran na Israel

Kuna watu humu wanasema kuwa Israel waliichukulia poa Iran, hamko sawa, Israel inaiona Iran ni kitisho kila wakati.

Kama ni hivyo kwanini Israel inashughulika na Nuclear ya Iran?

Katika wanadamu wote,hakuna aliye hatari na aliye mbaya na katili zaidi ya yule ambaye yuko possessed.

Mtu huyo mara nyingi kwenye maamuzi magumu hutumia akili zisizo zake.
 
SEma makobazi huwa nawadharau sana laiti kama israel angekua ana lipua na raia hapo iran ingekua dunia yote sasa hivi n pray for Iran
 
Ayatollah atulie hata sisi wadau wake tunajua anapumua KWA hisani ya Trump. Neta anaweza kumlambisha sakafu muda wowote
Hawawezi na hawatothubutu.
We ujajiuliza kwanini hata Macron alisema kummua Ayatollah na kufanya regime change ni mpango mbaya!??
Kwa shia kheri uue rais kuliko kiongozi wa dini,vita hiyo ingegeuka ya dini na hakuna angeweza kuizuia.
Achana na shia kabisa mzee kwa itikadi sunni wenyewe hatuingii ndani.
 
Huu ndio ukweli expert wangu,ingawa waisrael wa nanjilinji hawataki kuusikia
 
Domi kaya kama Mtume wao alikuwa haishi kuongea kila siku kibaya alikuwa anasema ameambiwa na Allah kupitia Jibril
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…