gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hapo kapinga vipi hajj?
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918946047637733407
Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja.
Sasa mada kwenu Kobazi wa Mpimbwe na Maji matitu kujadili maoni ya mtu mbobevu wa Dini ya Mudi na anayewapa kiburi magaidi Duniani.
Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua na kubadilika na kuja mpya Iran inaubadili Uislam
Sa we unaona Ayatollah hata Arkan Al Islam hazijuu 😄 🤣je wewe unaujua uislamu kuliko Ayatollah?
Muongoza wa uislam ni quran, kama unakataa yaliyomo kwenye quran hakuna haja ya kusema wewe ni muislam.Duh!...kwa hiyo washia wa Iran sio waislamu?
Matawi yote yamekatika hakuna pa kudandia naona Iran nae kaona kuna usanii kwenye hijjaElimu yako ndogo sana , umeshindwa kuelewa intended meaning kwenye huo ujumbe na kurelate na yanayoendelea sasa.
Kweli kunyimwa akili ni umasikini mbaya na zaidi umeioamba habari kiudaku na wengine wasio elewa wanafuata mkumbo . Anyway hata akisema sio ajabu hivyo hao ni Mashia Wana kufuru kubwa sana na ni maadui wa Uislamu.
Pita pembeni popoma wewe.Naendelea kukazia, wewe ndo kafiri na uisilam wako wa kijinga
Sijasema washia 100%.Duh!...kwa hiyo washia wa Iran sio waislamu?
InterestingLeo mnaikataa iran
Mambo ya kuchanganya dini na siasa, naona wenyewe hapa wamefanya Dini ndio Siasa😀
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918946047637733407
Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja.
Sasa mada kwenu Kobazi wa Mpimbwe na Maji matitu kujadili maoni ya mtu mbobevu wa Dini ya Mudi na anayewapa kiburi magaidi Duniani.
Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua na kubadilika na kuja mpya Iran inaubadili Uislam
Leo ndio mnaona hafai?Nakubaliana na wewe 100%; Ayatollah kachoka. Hivi huyu naye ni lazima afie ofisini? Hawezi kujiuzulu pale zinapoenda harijojo? Kama yaliyoandikwa kayaandika mwenyewe, alazimiahwe kujiuzulu.
Unajichanganya sana wewe na uislamu wako wa kinyokoSijasema washia 100%.
Nishakupuuza muda sana.Unajichanganya sana wewe na uislamu wako wa kinyoko
Huwezi sema Washia ni makafiri
Pumbavu sana we kijana
Nakuonya mara ya mwisho, acha kabisa kuufananisha Ushia na ukafiri, jinga sana weweNishakupuuza muda sana.
Mkuu waeza tuonesha aya ipi katika Quran yaani maneno ya Allah inayosema nguzo tano ndio hizo na lazima zifuatwe.. maana nimepita pita sana kwenye hii dini sijakutana na hiyo aya... umma uelewe tafadhari sana kwa swali hilo maana imefika time we need to know everythingUsiwe mjinga kutoa hitimisho pasi na kujua nini unazungumzia.
Iran asilimia kubwa ni Shiite/shia.
Na asilimia 90 ushia ni sawa na ukafiri nyuma ya pazia na hilo liko wazi.
Usihusishe masuala ya kisiasa za kimataifa ya Iran na dini Wacha UPUMBAVU HUO.
Nguzo za uislam ni Tano.
1.Shahada.
2.Swalah
3.Zakah.
4.Swaum
5.Hijjah
Hilo lipo dunia nzima akipinga Iran ama Ayatollah Khomeini haimaanishi mawazo yake yafuatwe.
Kwani washi sio waislam??Mleta mada acha kushadania mambo ambayo huyajui! kwanza ujuwe taifa la iran wengi ni mashia, na itikadi zao baadhi zinatofautiani na waislam walio wengi ktk dunia hii ambao ni sunni.
Ndugu nguzo za Uislam hazija tajwa zote Kwenye aya Moja lakini Kuna nguzo mbili ambazo huwa zinatajwa Kwa pamoja kutokana na ulazima wake na umuhimu Kwa wajaMkuu waeza tuonesha aya ipi katika Quran yaani maneno ya Allah inayosema nguzo tano ndio hizo na lazima zifuatwe.. maana nimepita pita sana kwenye hii dini sijakutana na hiyo aya... umma uelewe tafadhari sana kwa swali hilo maana imefika time we need to know everything