Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kwa makobazi wa kike na wa kiume, hii ni ngumu kumeza.
Sasa ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kiongozi wa Iran asiyegusika.
Hiyo ni pamoja na Ayatollah pamoja na Rais wa Iran.
Sitoshangaa Israel ikiwa inajua hadi kitanda anacholalia Ayatollah kikoje.
Israel imeonyesha uwezo wa kuwafyekelea mbali viongozi wote waandamizi wa Iran.
Inavyoonekana kwa sasa Israel imemuacha tu huyo Ayatollah abwabwaje anavyotaka na wakiamua kumla kichwa, ni suala la dakika chache tu wanampeleka kwenda kujivinjari na mabikra 77 [au ni 72?🤣].
Israel ndo mbabe wa Mashariki ya Kati, kupitia hisani ya baba lao 🇺🇸🇺🇸🇺🇸.
Je, Iran wana uwezo wowote wa kuwala vichwa viongozi waandamizi wa serikali ya Israel?
Mpaka sasa Iran hawajaonyesha huo uwezo.
Ayatollah azipime kauli zake la sivyo atakipata anachokitafuta.
*** around and Find out 🤣.