Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Hakuna vita yoyote itaendelea hapo maana Israel kashamaliza silaha za Iran.Ukimuua Khamenei atapatikana mwingine mwenye msimamo mkali zaidi.
Fahamu kuwa Clergy haitokubali hili lipite, martyrdom kwao ni kitu kikubwa, na pia ni fight ya kulinda their islamic rule, haitokuwa vita ndogo hata kidogo.
Asijifiche sasa kwenye mashimo. Wamtie kitu butu.Ukimuua Khamenei atapatikana mwingine mwenye msimamo mkali zaidi.
Fahamu kuwa Clergy haitokubali hili lipite, martyrdom kwao ni kitu kikubwa, na pia ni fight ya kulinda their islamic rule, haitokuwa vita ndogo hata kidogo.
Inawezekana hayatola alikuwa anaongea wakati hajajulishwa hali ya silaha ikoje hasa makombola,dahaKwa makobazi wa kike na wa kiume, hii ni ngumu kumeza.
Sasa ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kiongozi wa Iran asiyegusika.
Hiyo ni pamoja na Ayatollah pamoja na Rais wa Iran.
Sitoshangaa Israel ikiwa inajua hadi kitanda anacholalia Ayatollah kikoje.
Israel imeonyesha uwezo wa kuwafyekelea mbali viongozi wote waandamizi wa Iran.
Inavyoonekana kwa sasa Israel imemuacha tu huyo Ayatollah abwabwaje anavyotaka na wakiamua kumla kichwa, ni suala la dakika chache tu wanampeleka kwenda kujivinjari na mabikra 77 [au ni 72?๐คฃ].
Israel ndo mbabe wa Mashariki ya Kati, kupitia hisani ya baba lao ๐บ๐ธ๐บ๐ธ๐บ๐ธ.
Je, Iran wana uwezo wowote wa kuwala vichwa viongozi waandamizi wa serikali ya Israel?
Mpaka sasa Iran hawajaonyesha huo uwezo.
Ayatollah azipime kauli zake la sivyo atakipata anachokitafuta.
*** around and Find out ๐คฃ.
Si ajabu kukuta wanamtawaza Ayatollah, kumvisha pampapas, kumuogesha, kumuanika juani, kumvalisha nguo ni wayahudi tena mossad wenyewe kabisaaaa.Kwa makobazi wa kike na wa kiume, hii ni ngumu kumeza.
Sasa ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kiongozi wa Iran asiyegusika.
Hiyo ni pamoja na Ayatollah pamoja na Rais wa Iran.
Sitoshangaa Israel ikiwa inajua hadi kitanda anacholalia Ayatollah kikoje.
Israel imeonyesha uwezo wa kuwafyekelea mbali viongozi wote waandamizi wa Iran.
Inavyoonekana kwa sasa Israel imemuacha tu huyo Ayatollah abwabwaje anavyotaka na wakiamua kumla kichwa, ni suala la dakika chache tu wanampeleka kwenda kujivinjari na mabikra 77 [au ni 72?๐คฃ].
Israel ndo mbabe wa Mashariki ya Kati, kupitia hisani ya baba lao ๐บ๐ธ๐บ๐ธ๐บ๐ธ.
Je, Iran wana uwezo wowote wa kuwala vichwa viongozi waandamizi wa serikali ya Israel?
Mpaka sasa Iran hawajaonyesha huo uwezo.
Ayatollah azipime kauli zake la sivyo atakipata anachokitafuta.
*** around and Find out ๐คฃ.
I like this ๐๐Kuna makosa gani Israel akiwa baba wa ukanda huo ili mradi maisha yanaendelea?
Kumbe Iran ilishajibu?mbona hatusikii chochoteLeo asubuhi na yeye Iran amerusha manati dhidi ya Israel na yote yamepopolewa..,,.. kubishana na Israel ni kujirudisha nyuma kiuchumi
Israel hawataki kufanya hivyoAsijifiche sasa kwenye mashimo. Wamtie kitu butu.
Hii vi vita ndogo saana kwa ISRAIL "time will tell"Ukimuua Khamenei atapatikana mwingine mwenye msimamo mkali zaidi.