Ayoub Rioba Africa imeshakua na madikteta wengi na wameshindwa ondoa umaskini kwenye nchi zao

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Ayoub rioba afrika imeshakua na madikteta wengi sana ila cha ajabu wameshindwa kuondoa umaskini na kutengeneza taasisi imara kwenye nchi zao

Sasa unavyosema chanzo cha matatizo ya afrika ni madikteta ni wazi hujasoma historia ya bara la afrika
 
View attachment 3641872
Ni kweli hata huyu wetu wa sasa hivi kashindwa
 
Ayoub rioba afrika imeshakua na madikteta wengi sana ila cha ajabu wameshindwa kuondoa umaskini na kutengeneza taasisi imara kwenye nchi zao

Sasa unavyosema chanzo cha matatizo ya afrika ni madikteta ni wazi hujasoma historia ya bara la afrika
View attachment 3641872
Khaaaaa huyu jamaa zero brain wahedi, statement yake inajitia kidole yenyewe, sorry to say dat..
 
Hawa ndiyo PhD holders, kwakweli nilihairisha masomo ya kuendelea na PhD mwaka wa pili nijikite kufanya mambo mengine make ukiwasikia wenye elimu hiyo wakichambua jambo hadi unaona aibu.
 
Back
Top Bottom