REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Hiyo ni biashara ya watu jomba kwani hutaki watu walipie kifurushi kuona kombe la dinia, kisa tbc inaonyesha bureAjabu sana CHANEL ya TBC TAIFA ni bure kwenye kisimbuzi cha azam ajabu mda huu wameanza uchambuzi azam wameifunga hiyo CHANEL ya TBC je hii ni halali hii fungeni CHANEL zote
Hii inchi inachezewa sana
TBC uchambuzi umeshaanza tayari?ajabu mda huu wameanza uchambuzi
Wanaonyesha TBC mechi zote 28 na wanazitangaza pia,Ina maana hauna DStv ?
Hadi kuangaika na TBC ili uone world cup?
Achana na TBC mkuuWanaonyesha TBC mechi zote 28 na wanazitangaza pia,
Tbc ni local chanel ipo bure kisheria za TCRA sio ombi, wala hisani ipo bure kisheria kwaiyo azam wao si wana ligi kuu wabaki na ligi kuu yao ya NBC waachie TBC watu wangalie kabumbuHiyo ni biashara ya watu jomba kwani hutaki watu walipie kifurushi kuona kombe la dinia, kisa tbc inaonyesha bure
Eee wamefanyajeAchana na TBC mkuu
Mechi zote ni 64 siyo 28Wanaonyesha TBC mechi zote 28 na wanazitangaza pia,
Hii hoja nzito sana uwezo elewa watanzania tumeanza kuchezewa upya kama mnavyoambiwa maji mto ruvu sijui yamefanyaje mara umeme sijui yamefanyaje ndio huu upuuzi unapenda fanyika Tbc ni local chanelIna maana hauna DStv ?
Hadi kuangaika na TBC ili uone world cup?
Siyo kweli sasa kama tbc wana chaneli 1 tbc 1 na siku kukiwa na mechi mbili au tatu kwa wakati mmoja itakuwaje?Wanaonyesha TBC mechi zote 28 na wanazitangaza pia,
Mkuu ujapigiwa sm na bibi na babu kule nyumbani eti kuwa Tbc haionyeshi, maana uko tumewanumulia dish woa wanaserereka na local chanel sasa local chanel zikikata sm haizishi muite fundi muite fundiMmh! TBC mbona ipo hewani na saa hii wanazungumzia izo mambo za World Cup?
Au TBC ipi unasemea Mkuu?
KilometersHii hoja nzito sana uwezo elewa watanzania tumeanza kuchezewa upya kama mnavyoambiwa maji mto ruvu sijui yamefanyaje mara umeme sijui yamefanyaje ndio huu upuuzi unapenda fanyika Tbc ni local chanel