Azam achieni chanel ya TBC Taifa watu waangalie kombe la dunia

Tangu lini mmeanza kuangalia tbccm? 😅😅
 
Ujue sisi watanzania tunapenda kulalamika sana bila ya kusoma au kutafuta maarifa ya kitu fulani… ipo hivi Mpira wa sasa ni biashara kubwa sana ambayo watu wanawekeza pesa… Mwenye haki ya kuonyesha mechi zote ni DSTV ambae amelipia pesa za kutosha sasa hakuna mwingine ambae ataweza kuonyesha mechi hizi bure. TBC wana ile haki ya utaifa ambayo wanapewa kuonyesha mechi moja kila siku au nusu au robo ya mechi zote, kwa hiyo DSTV hawezi kuruhusu Azam au mtu mwingine kuonyesha bure anakuwa amefanya wizi kwenye vingamuzi vyao ( ni ngumu kunielewa kwenye ili bcz ni kisheria zaidi) ndio maana pamoja ni TBC ni bure lakini itawekwa kwenye kulipa bcz ya kuonyesha mpira katika muda wa kuonyesha World cup mechi.
Mnajifanya mnajua sheria kumbe pumba tu.
 
Ajabu sana CHANEL ya TBC TAIFA ni bure kwenye kisimbuzi cha azam ajabu mda huu wameanza uchambuzi azam wameifunga hiyo CHANEL ya TBC je hii ni halali hii fungeni CHANEL zote

Hii inchi inachezewa sana
Azania media hawana akimiliki ya kuonyesha mashindano ya kumbe la dunia.
 
Tunazungumzia TBC as free channel.
Ni kweli ni free channel lakini hawawezi kuonyesha mechi za kombe la Dunia kupitia ving'amuzi vingeni ambavyo havina haki za matangazo ya kombe la Dunia, TBC mshirika wake wa kibiashara ni Startime na ukilipia startimes unaona mechi za zote za kombe la Dunia siyo kupitia TBC pekee ata channel nyingine zipo ndani ya Startimes hukitoa TBC, lakini lazima ulipie kifurushi cha elfu 23.
 
Miaka yote kombe la dunia huoneshwa bure,, au system imebadilishwa?
 
Jamani c tulikubaliana hatuangalii TBC 😂
anyway, hv nusu/robo fainali na fainali yenyewe hao TBC wataonyesha.?
 
Ajabu sana CHANEL ya TBC TAIFA ni bure kwenye kisimbuzi cha azam ajabu mda huu wameanza uchambuzi azam wameifunga hiyo CHANEL ya TBC je hii ni halali hii fungeni CHANEL zote

Hii inchi inachezewa sana

Acheni ubabe kwenye biashara
 
Miaka yote kombe la dunia huoneshwa bure,, au system imebadilishwa?
Kwani sasa hivi tuna lipia kuangalia kombe la dunia? Baada ya kuingia kwenye mfumo wa Digitali hakuna tena channel za bure kama mfumo analogia wa zamani ambao channel zote zilikuwa free ni wewe tu kununua Antenna nzuri na kuzingush, kwaiyo sasa hivi ni mfumo wa kulipia king'amuzi na king'amuzi vinavyo onyesha kombe la Dunia ni DSTV, Startimes, kwa Zanzibar Zanzibar cable, Zedmusc kwa Zanzibar wao ving'amuzi vyao wana lipia elfu kumi kwa mwezi, ukitoa DSTV, na Stsrtimes.
 
Ajabu sana CHANEL ya TBC TAIFA ni bure kwenye kisimbuzi cha azam ajabu mda huu wameanza uchambuzi azam wameifunga hiyo CHANEL ya TBC je hii ni halali hii fungeni CHANEL zote

Hii inchi inachezewa sana
R.I.P Pombe Magufuli
 
Attachments

  • Screenshot_20221120-222800.png
    Screenshot_20221120-222800.png
    116.6 KB · Views: 4
Nimegundua humu kuna wapiga debe wa baadhi ya ving'amuzi.
 
Kwani sasa hivi tuna lipia kuangalia kombe la dunia? Baada ya kuingia kwenye mfumo wa Digitali hakuna tena channel za bure kama mfumo analogia wa zamani ambao channel zote zilikuwa free ni wewe tu kununua Antenna nzuri na kuzingush, kwaiyo sasa hivi ni mfumo wa kulipia king'amuzi na king'amuzi vinavyo onyesha kombe la Dunia ni DSTV, Startimes, kwa Zanzibar Zanzibar cable, Zedmusc kwa Zanzibar wao ving'amuzi vyao wana lipia elfu kumi kwa mwezi, ukitoa DSTV, na Stsrtimes.
Mbona kuna free channels?
 
Mbona kuna free channels?
Zipo kwa muda we husilipie mwaka mzima kama utaziona hewani, Azam ni kampuni kama ilivyo Dstv, Startimes, kwaiyo Azam hawa wezi kuonyesha mechi za kombe la dunia kwasababu hawana akimiliki ya kuonyesha na wakikaidi kuonyesha lazima watashatakiwa, wenye haki ya kuonyesha mechi za kombe la dunia nchini ni Dstv na startimes tu, yani nisawa Azam waonyeshe ligi kuu ya Uingereza kitu ambacho hawa wezi kwasababu hawana haki ya kuonyesha labda watuonyeshe kwa kuiba kupitia chaneli za nje. Ata sasa Azam wanaweza kuonyesha kombe la dunia kwa wizi kupitia baadhi ya chaneli mbali mbali Duniani, lakini hawezi kufanya kwa kuogopa kushtakiwa.
 
Mbona ukilipia unaona?
 
Mmh! TBC mbona ipo hewani na saa hii wanazungumzia izo mambo za World Cup?

Au TBC ipi unasemea Mkuu?
Naona huelewi au unazungumzia porojo kwa wale ambao wanapata TBC kama channel ya bure jioni hii wamefungiwa hawaoni ili kuona unatakiwa ulipie
 
Kw
Zipo kwa muda we husilipie mwaka mzima kama utaziona hewani, Azam ni kampuni kama ilivyo Dstv, Startimes, kwaiyo Azam hawa wezi kuonyesha mechi za kombe la dunia kwasababu hawana akimiliki ya kuonyesha na wakikaidi kuonyesha lazima watashatakiwa, wenye haki ya kuonyesha mechi za kombe la dunia nchini ni Dstv na startimes tu, yani nisawa Azam waonyeshe ligi kuu ya Uingereza kitu ambacho hawa wezi kwasababu hawana haki ya kuonyesha labda watuonyeshe kwa kuiba kupitia chaneli za nje. Ata sasa Azam wanaweza kuonyesha kombe la dunia kwa wizi kupitia baadhi ya chaneli mbali mbali Duniani, lakini hawezi kufanya kwa kuogopa kushtakiwa.

Zipo kwa muda we husilipie mwaka mzima kama utaziona hewani, Azam ni kampuni kama ilivyo Dstv, Startimes, kwaiyo Azam hawa wezi kuonyesha mechi za kombe la dunia kwasababu hawana akimiliki ya kuonyesha na wakikaidi kuonyesha lazima watashatakiwa, wenye haki ya kuonyesha mechi za kombe la dunia nchini ni Dstv na startimes tu, yani nisawa Azam waonyeshe ligi kuu ya Uingereza kitu ambacho hawa wezi kwasababu hawana haki ya kuonyesha labda watuonyeshe kwa kuiba kupitia chaneli za nje. Ata sasa Azam wanaweza kuonyesha kombe la dunia kwa wizi kupitia baadhi ya chaneli mbali mbali Duniani, lakini hawezi kufanya kwa kuogopa kushtakiwa.
Ni Chanel gani ya Startime inayorusha kombe la dunia?
 
Back
Top Bottom