Azam achieni chanel ya TBC Taifa watu waangalie kombe la dunia

Azam achieni chanel ya TBC Taifa watu waangalie kombe la dunia

Ajabu sana CHANEL ya TBC TAIFA ni bure kwenye kisimbuzi cha azam ajabu mda huu wameanza uchambuzi azam wameifunga hiyo CHANEL ya TBC je hii ni halali hii fungeni CHANEL zote

Hii inchi inachezewa sana
Acha kukurupuka Tbc wapo hewani
 
Ajabu sana CHANEL ya TBC TAIFA ni bure kwenye kisimbuzi cha azam ajabu mda huu wameanza uchambuzi azam wameifunga hiyo CHANEL ya TBC je hii ni halali hii fungeni CHANEL zote

Hii inchi inachezewa sana
Wapi mwenye dhamana
 
Tbc ni local chanel ipo bure kisheria za TCRA sio ombi, wala hisani ipo bure kisheria kwaiyo azam wao si wana ligi kuu wabaki na ligi kuu yao ya NBC waachie TBC watu wangalie kabumbu

Msigwa aje atoe ufafanuzi hapa imekuwaje yeye si msemaji wa serikali pia nape naye atuambie imekuwaje azam wanafanya mabavu
Wewe endelea kufuata sheria kwenye biashara za watu, we kalipia chochote tbc utaipata tu.
 
Screenshot_20221120-183804.png

Back
Top Bottom