Azam achieni chanel ya TBC Taifa watu waangalie kombe la dunia

View attachment 2422394

Watu walitazame sio
 
Mimi naangalia Kabumbu TBC1 hapa... Asante sana mleta uzi nilikuwa sijui na ilikuwa kesho nifunge Dish la Dstv lakini elfu 90 yangu imepona... [emoji23]
TBC wanaonyesha mechi 28 kati ya 64, DStv wanaonyesha zote 64
 
Yule siyo mchambuzi wa mpira Bali mpiga porojo za mpira,ndiyo kawaambukiza wachambuzi wa bongo,wanafunzi wake akina kumwembe,wanapiga story tu za mpira
Sasa kama unapiga porojo na watu wanakuelewa, ina maana yuko vizuri. Kwanza tukubali kwamba ndiye muasisi wa uchambuzi wa soka hapa nchini, kitu ambacho zamani hakikuwepo. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Ujue sisi watanzania tunapenda kulalamika sana bila ya kusoma au kutafuta maarifa ya kitu fulani… ipo hivi Mpira wa sasa ni biashara kubwa sana ambayo watu wanawekeza pesa… Mwenye haki ya kuonyesha mechi zote ni DSTV ambae amelipia pesa za kutosha sasa hakuna mwingine ambae ataweza kuonyesha mechi hizi bure. TBC wana ile haki ya utaifa ambayo wanapewa kuonyesha mechi moja kila siku au nusu au robo ya mechi zote, kwa hiyo DSTV hawezi kuruhusu Azam au mtu mwingine kuonyesha bure anakuwa amefanya wizi kwenye vingamuzi vyao ( ni ngumu kunielewa kwenye ili bcz ni kisheria zaidi) ndio maana pamoja ni TBC ni bure lakini itawekwa kwenye kulipa bcz ya kuonyesha mpira katika muda wa kuonyesha World cup mechi.
 
Ajabu sana CHANEL ya TBC TAIFA ni bure kwenye kisimbuzi cha azam ajabu mda huu wameanza uchambuzi azam wameifunga hiyo CHANEL ya TBC je hii ni halali hii fungeni CHANEL zote

Hii inchi inachezewa sana
Ryoba kapewa mpunga😂😂😂
 
Ujue sisi watanzania tunapenda kulalamika sana bila ya kusoma au kutafuta maarifa ya kitu fulani… ipo hivi Mpira wa sasa ni biashara kubwa sana ambayo watu wanawekeza pesa… Mwenye haki ya kuonyesha mechi zote ni DSTV ambae amelipia pesa za kutosha sasa hakuna mwingine ambae ataweza kuonyesha mechi hizi bure. TBC wana ile haki ya utaifa ambayo wanapewa kuonyesha mechi moja kila siku au nusu au robo ya mechi zote, kwa hiyo DSTV hawezi kuruhusu Azam au mtu mwingine kuonyesha bure anakuwa amefanya wizi kwenye vingamuzi vyao ( ni ngumu kunielewa kwenye ili bcz ni kisheria zaidi) ndio maana pamoja ni TBC ni bure lakini itawekwa kwenye kulipa bcz ya kuonyesha mpira katika muda wa kuonyesha World cup mechi.
Acha uwongo tbc hailipiw ni bure tena nisheria

Sent from my SM-J330F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom