Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

Kwa sisi wakongwe tutakumba G sports walivyopoteana

Sasa GSport alikuwa na ubavu kupambana na DSTV, Na kweli DSTV walipelekeshwa maana bando la Gsport lilikuwa cheap sana. Sema hakuinvest sana kwenye vidude vyake vipatikane sehemu nyingi ili apate faida aliokuwa anaitaka japo ingechelewa kidogo. Maana mtaani watu walishasanuana kitambo kuhusu hao jamaa, vibanda vya mpira walibadili gia angani fasta kumkimbia mkaburu.
 
Duniani kote ipi ww babu, USA tuu hapo huyo dstv ni sawa na zuku huku Bongo.

Dstv ina soko kubwa Africa tuu ila huko mbele ni wa kawaida sana kama zuku tuu.

Wabongo hamfatilii mambo ila mnaongoza kwa ubishi.
Mbaga kwani Jana ulikunywa? 😀
Mbona tulielewana kabisa kuwa yenyewe ina mambo ya Duniani kote ikayaleta huku Afrika
 
Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa.

Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali ila hadimu na kutojirudia.
Tatizo la Azama ni Udini tu, hilo litampunguzia wateja
 
Hapana, hiyo siyo ya Bakhresa. ZBC ni mali ya serikali ya Mapinduzi Zanzibar!
Unajua n kwann Zbc2 ipo azam pekee ake?

Nadhani pia jiulize n kwann mechi za ligi na nyngnezo zinazofanywa na azam zinapitia Zbc2?
 
Unajua n kwann Zbc2 ipo azam pekee ake?

Nadhani pia jiulize n kwann mechi za ligi na nyngnezo zinazofanywa na azam zinapitia Zbc2?
Sasa mkuu kuwa Azam peke yake ndiyo inakuwa mali yake? Hapana siyo hivyo mkuu!
 
Na yeye si ndio atazingua sana hapo na maskrachi yake pamoja na kukatikakatika hovyo kwa matangazo yake?
 
Sasa GSport alikuwa na ubavu kupambana na DSTV, Na kweli DSTV walipelekeshwa maana bando la Gsport lilikuwa cheap sana. Sema hakuinvest sana kwenye vidude vyake vipatikane sehemu nyingi ili apate faida aliokuwa anaitaka japo ingechelewa kidogo. Maana mtaani watu walishasanuana kitambo kuhusu hao jamaa, vibanda vya mpira walibadili gia angani fasta kumkimbia mkaburu.
Kuweka rekodi sawa, mkaburu hakukimbiwa kwasababu bado yeye pekee ndio alikuwa na haki za kurusha Uefa Champions League huku Gsport akirusha EPL
 
Yah upo sahihi mkuu, watu wakiangalia mechi kwenye supersports/dstv wanadhani wao ndio wanaofanya production za hizo mechi kumbe nao pia wanapewa feed (video) kama ambavyo azam anapewa feed (video) za mechi za Laliga na Bundesliga.
Mfano EPL kuna makampuni kama matano hv ndo yanafanya production ikiwemo TNT, SKY SPORTS n.k ila Supersport/dstv anaonyesha tuu na hakuna mechi hata moja aliwahi kufanya production.



Wabongo wengi wanaichukulia simple azam TV kisa tuu wanaonyesha tamthilia, lkn azam TV n kampuni kubwa grade one kwenye rates za CAF, na ndio mana mechi zote za CAF zinazochezwa Tanzania zinafanyiwa production na azam TV.

Kwenye ufunguzi wa AFL ile mpaka rais wa FIFA alikuja Tz, ile production imefanywa na azam TV japokuwa kulikuwa na baadhi ya watu kutoka kwenye kampuni iliyokuwa na haki ya kufanya production ya mechi za AFL, pia official broadcaster ilikuwa ni kampuni kutoka France, ila production nzima ilifanywa na azam tv na mechi zote za CAF zinazofanyikia Tz bc azam ndo anafanya production.

Sasa mbongo kisa anaona tamthilia ambazo yeye hazipendi bc anaiona azam ni kituko.
Hawajui Azam kaweka 225 billion (Tshs) deal ya exclusive rights ku-broadcast TPL
 
Back
Top Bottom